International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Jaji anayechunguza madai ya wizi wa fedha dhidi ya mke wa Waziri Mkuu wa Uhispania, Pedro Sanchez, Begona Gomez, ameagiza afikishwe mahakamani kusikilizwa kesi, kwa mujibu wa hati ya mahakama...
1 Reactions
5 Replies
364 Views
Septemba 18, 2025 mji mkuu wa Guinea, Conakry, ulijaa shughuli za kampeni huku wananchi wakijiandaa kupiga kura ya marekebisho ya katiba ambayo inaweza kumruhusu kiongozi wa mapinduzi Col. Mamadi...
1 Reactions
6 Replies
477 Views
Video hii inaonyesha Muonekano wa Mji wa Gaza July 2023 kabla ya Mashambulizi ya Jeshi la Israel kwenye Mji huo Septemba 1, 2025. -------------------- As Israeli bombardment intensified...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Serikali nchini Madagascar imepiga marufuku ya kutoka nje usiku kufuatia maandamano yaliyoendelea nchini humo ambapo polisi wamelazimika kutumia risasi za mpira na gesi ya kutowa machozi kutawanya...
2 Reactions
0 Replies
265 Views
Jeshi la anga la Israel likishirikiana na wanamaji jioni hii wameamua kwenda kuwasalimia wahouth huko Yemen, lengo lao kubwa ni kumuona kiongozi wao Mkuu Abd al-Malik al-Houthi. Taarifa Kamili...
1 Reactions
6 Replies
450 Views
Akili Mnemba (Artificial Intelligence au AI) hutumia kompyuta kufanya kazi ambazo kwa kawaida zingehitaji akili ya binadamu. Siku hizi AI inatumika katika maisha ya kila siku, mfano wasaidizi wa...
1 Reactions
2 Replies
322 Views
Akielekea New york City, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema atatumia hotuba ya United Nations General Assembly (UNGA) kuwashutumu viongozi wa dunia wanaoitambua Palestina Waziri Mkuu...
1 Reactions
6 Replies
442 Views
Rais wa Malawi, ambaye pia ni mwenyekiti wa SADC, Lazarus Chakwera ametoa wito kwa wananchi wa visiwa vya Shelisheli kujitokeza kupiga kura ili kushiriki mchakato wa maendeleo katika nchi yao...
1 Reactions
3 Replies
211 Views
Spika wa Bunge la Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Vital Kamerhe amejiuzulu muda mfupi kabla ya kufanyika kwa kura ya maoni iliyolenga kumwondoa madarakani. Akitangaza hatua hiyo...
1 Reactions
3 Replies
323 Views
Siku za karibuni alianza kupeleka drones Poland. Akarusha ndege kwenye anga la Estonia. Siku hizi mbili kapeleka drones Dernmark na Norway. Hadi uwanja wa ndege Copennhagen ulifungwa. Russia...
3 Reactions
7 Replies
583 Views
Katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Marekani Donald Trump alilaani madola ya Magharibi kwa kulitambua taifa fake la Palestina. Alisema kuwa hatua kama hiyo itakuwa thawabu kwa "unyama...
1 Reactions
2 Replies
323 Views
Zaidi ya watu 200 wamekamatwa na polisi jijini Manila baada ya makabiliano na waandamanaji waliovaa barakoa, siku moja baada ya maandamano makubwa ya kupinga ufisadi, Taarifa iliyotolewa na...
1 Reactions
7 Replies
425 Views
Nchini Lebanon, hafla ya wanachama na wafuasi wa Hezbollah ilifanyika leo kuadhimisha mwaka 1 tangu kuangamizwa kwa Gaidi Hassan Nasrallah.
0 Reactions
0 Replies
171 Views
In a press conference, Israeli prime minister Benjamin Netanyahu said anyone with a cell phone owns a “piece of Israel”.
5 Reactions
81 Replies
4K Views
Kosa na Maelezo ya Hukumu: Kosa kuu: Njama ya jinai (criminal conspiracy) katika kufadhili kampeni yake ya urais wa 2007. Anashtakiwa kwa kukubali mamilioni ya euro (karibu €50 milioni) kutoka...
0 Reactions
2 Replies
203 Views
Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy, anakabiliwa na kifungo cha hadi miaka 10 jela endapo mahakama ya Paris itamkuta na hatia ya kutumia kificho fedha kutoka serikali ya aliyekuwa dikteta...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Upinzani Guinea umepinga kura ya maoni ya katiba iliyozua utata, ikidaiwa kufungua njia kwa kiongozi wa kijeshi wa nchi hiyo kugombea urais. Matokeo rasmi yaliyotangazwa Septemba 23, 2025...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Habari za ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani ni jambo la kawaida sana huko uarabuni ila ajabu ni kwamba mabinti Waafrika huwaambii kitu kuhusu kwenda huko uarabuni kuteseka!
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko. Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Wakuu, Marekani imeweka bayana kuwa makubaliano ya mauziano hayo ya Mtandao wa Tiktok yatafanyika wiki hii. Mmiliki huyo mpya Larry Ellison ndio mtu binafsi anayeongoza kwa kulipa misaada jeshi la...
5 Reactions
18 Replies
673 Views
Back
Top Bottom