Watu Tisa wamekufa nchini Marekani kutokana na baridi kali ambayo imelikumba eneo la nchi za Amerika ya Kaskazini, baridi ambayo inasemekana ni mbaya kutokea katika eneo hilo katika kipindi cha...
Kijiji cha Locana nchini Italy kimetangaza ofa ya €9,000 (Tsh.23Mil) kwa mtu aliye tayari kuhamia kijijini hapo
Kijiji cha Locana kipo umbali wa takribani 45km kutokea mji wa Turin
Meya wa...
Ndege ndogo ya abiria imeanguka katika makazi ya watu kwenye jimbo la California nchini Marekani na kusababisha vifo vya watu watano akiwemo rubani wa ndege hiyo.
Watu walioshuhudia ajali hiyo...
Waziri mkuu wa Izrael atangaza kwamba ujenzi wa ukuta wa chuma umeanza katika mpaka wa Gaza
Ukuta wa chuma waanza kujengwa mpaka wa Gaza
Israel yaanza kujenga ukuta wa chuma katika mpaka wa Gaza...
Seif al-Islam Gaddafi ajiandikisha kugombea urais nchini Libya
Mkuu wa Mipango ya Mwana wa Kanali Muammar Gaddafi, yaani Seif al-Islam Gaddafi ametangaza kuwa, mwana huyo wa kiongozi wa zamani wa...
Thousands of passengers have been left stranded after air regulators grounded Turkmenistan Airlines for safety reasons.
The UK's Civil Aviation Authority said flights from Birmingham and London's...
Leo February 4 2019 kikosi maalum cha uokoaji kimesema ndege ndogo aliyokuwa amepanda mshambuliaji mpya wa Cardiff City Emiliano Sala akiwa na rubani wake David Ibbotson imeonekana ndani ya...
Binti mmoja raia wa Saudi Arabia, Rahaf Mohammed, miaka 18 amewekwa kizuizini uwanja wa ndege wa Bangkok Thailand alipojaribu kuikimbia familia yake na mateso nchini Saudi Arabia. Kwa maelezo yake...
Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imefikia makubaliano ya amani katika mazungumzo yaliyofanyika mji mkuu wa Sudan, Khartoum na makundi 14 ya wapiganaji.
Tangazo hilo ni hatua muhimu kuelekea...
Urusi inakabiliwa na matarajio ya kuwekewa vikwazo vikali zaidi ifikapo Januari 2019 wakati Baraza la Congress la Marekani linapotarajiwa kujadili mfuko mpya wa adhabu
Kutokana na hatua hiyo...
Mbegu ambazo zimepelekwa mwezini na chombo cha utafiti wa anga za juu cha Chang'e-4 zimechipua, mamlaka jijini Beijing zimethibitisha.
Hii ni mara ya kwanza kwa mmea wa kibaolojia kuchipuwa...
Mwanaume mmoja anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kukutwa akisafiri na maiti ya Mtoto kwenye Treni
Bwana James Majawa mwenye umri wa miaka 28 alikuwa akisafiri kutoka Limbe kwenda Nayuchi...
Mwanamke mmoja katika jiji la London ametiwa nguvuni kwa kosa la kutaka kumkeketa mtoto wake mwenye umri wa miaka 3.
Mwanamke huyo mwenye asili la ya Kiganda(jina linahifadhiwa kwa sababu ya...
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani Mike Pompeo amesema Marekani itajitoa kwenye mkataba huo Februari 2, akiongeza kuwa ikiwa Urusi haitarudi katika njia ya kuheshimu utekelezwaji wa...
SERIKALI ya hapa imejiondoa katika mkataba wa kupinga uundaji wa makombora ya masafa marefu uliyofikiwa enzi ya vita baridi kufutia uamuzi uliochukuliwa na Marekani.
Marekani ambayo kwa muda...
Marekani demokrasia ndani ,nje dikteta,
Ndani kwake anajiita ana demokrasia,lakini kimataifa ni dikteta.
Maduro muda wake wa kuondoka umefika,na lazima ataondoka,asipoondoka Mungu mkubwa...
Tuhuma za mapadri na makasisi kubaka, kulawiti, kuwachezea nyeti zao na kuwadhalilisha watoto kingono bado inaendelea kuliandama kanisa katoliki, sasa ni huko Texas, Marekani. Mapadri 280...
Mambo vipi wadau??..binafsi nmekuwa na maswali mengi kuliko majibu kuhusu kiburi cha Marekani, katika tafuta tafuta nmekutana na hili hapa chini.
Miaka ya 1940s kumewahi tokea ajali kubwa maeneo...
Mpinzani wa Maduro aliye jipa urais nchini Venezuela bwana Guaoido amekata ofa iliyotolewa na rais Maduro ya kukutana kwao na kuzungumzia hatma ya Venezuela.
Guaoido anadai yeye ni rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.