Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,610
Waziri mkuu wa Izrael atangaza kwamba ujenzi wa ukuta wa chuma umeanza katika mpaka wa Gaza
Ukuta wa chuma waanza kujengwa mpaka wa Gaza
Israel yaanza kujenga ukuta wa chuma katika mpaka wa Gaza. Ukuta huo utakuwa na urefu ea kilomita 65 na kimo cha mita 6.
Waziri mkuu wa Izrael Benyamin Netanyahu ametangaza kwamba ujenzi wa ukuta wa chuma wenye urefu wa kilomita 65 na kimo cha mita 6 umeanza kujengwa kwenye mpaka wa Gaza.
Netanyahu alisema lengo la ukuta huo ni kuzua wapalestina wasiingie upande wa Izrael.