International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

MWANAMKE kutoka Queensland, Australia ambaye aliwanajisi watoto wake wa kiume na kike alifungwa jela miaka tisa Alhamisi, baada ya kukiri kuwa aliwadhulumu kingono mvulana wake wa miaka 15 na...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Nchi ya Irani imzijia juu na kuzilaumu Nchi za Ulaya, Italia na Ugiriki nchi ambazo ziliruhusiwa na Marakani zinunua kwa muda mafuta japo Iran imewekewa Vikwazo vya Uchumi... Waziri wa Mafuta wa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Rais wa Siera Leone, Julius Maada Bio ametangaza hali ya dharura ya taifa kwa sababu ya kuongezeka idadi kubwa ya ghasia za ubakaji na ngono nchini humo. Rais Bio alisema mtu yeyote atakayekutwa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wizara ya Afya: Waliokufa kwa Ebola DRC wamepindukia 500 Wizara ya Afya ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia kwa maradhi ya Ebola tangu yaibuke...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe umesababisha vifo vya watu watano kaskazini mwa Afrika Kusini. Mlipuko katika mgodi Afrika ya Kusini Mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe umesababisha vifo...
0 Reactions
1 Replies
826 Views
Africa’s aviation sector has the potential to fuel economic growth. The International Air Transport Association (IATA) projects that the continent will become one of the fastest growing aviation...
0 Reactions
1 Replies
488 Views
Huyu Mama siyo mchezo! Kwa maoni yangu, kamzidi Obama sehemu moja, harembi! Chepeo anaita chepeo! Ni Senator ambaye pia ni preosecutor! Aliwahi kuwa District attorney! Huwa ninapenda sana maswali...
4 Reactions
93 Replies
8K Views
Utafiti uliofanywa Jijini Sydney nchini Australia umebainisha kuwa Nyuki wanauwezo wa kufanya hesabu za kujumlisha na kutoa licha ya kuwa na ubongo mdogo Utafiti huu umefanyika kwenye chuo Kikuu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mfalme wa Thailand amezuia jaribio la dada yake la kuwania nafasi ya waziri mkuu. Siku moja tu baada ya kuwasilisha jina la binti mfalme kuwa mgombea wake, chama cha Thai Raksa Chart kimesema...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari JF. Ukishangaa ya Musa utayaona ya Firauni. Ktk hali isiyotarajiwa Rais mpya wa Congo DRC Felix Tshekedi ameliarifu taifa kuwa kila waziri wa serikali iliyomaliza muda wake ataendelea...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Venezuela yanasa shehena ya silaha za Marekani Feb 06, 2019 07:26 UTC Vyombo vya usalama nchini Venezuela vimetangaza habari ya kunasa shehena kubwa ya silaha zinazoripotiwa kutokea Marekani...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Libya, Sudan na Misri, nchi tatu za Kiarabu za bara la Afrika zimetangaza utayari wa kuwapokea askari wa Russia au kuiruhusu nchi hiyo ianzishe kituo cha kijeshi katika ardhi zao. Kwa mujibu wa...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Jeshi la Marekani limetangaza mipango ya kutaka kununua na kujaribu mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel kwa jina Iron Dome. Mfumo huo unaotumia rada na kutungua makombora kwa lengo la...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Serikali ya Marekani imeidhinisha makubaliano ya kuuziwa kwa mifumo miwili ya kujikinga na makombora ijulikanayo kama 'Aegis Ashore' na Japan. Japan inanunua mifumo hiyo ikiwa ni nyongeza ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mamlaka ya mawasiliano Nchini Uganda imetoa amri ya kufungwa kwa Tovuti ya Gazeti Binafsi la Daily Monitor. Mkuu wa Mamlaka hiyo bwana Godfrey Mutabazi amemuandikia barua Mkurugenzi wa Daily...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Rais wa DRC Felix Tshisekedi amefika mjini Nairobi ili kukutana na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mwezi mmoja tangu kuapishwa kwake. Rais huyo alifika Nairobi siku ya jumatano mchana na atakuwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wabunge wamependekeza Muswada wa mabadiliko ya sheria utakaozuia tovuti za ngono Watakaotaka kutazama na kutembelea tovuti hizo watapaswa kulipia kiasi cha Dola za Kimarekani 20 zitazotumika...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Kuna tetesi kuwa Mtambo maalum wa kuzuia Mashambulizi angani kutoka Usuri aina ya S-300 ushakuwa Tayari kwa kuzuia aina yeyote ile ya Mashambulizi sasa baada ya hilo nini Kitatokea? Hizi tetesi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Socialist candidate Nicolas Maduro has won a narrow victory in Venezuela's presidential poll. Mr Maduro, who was chosen by the late Hugo Chavez, won 50.7% of the vote against 49.1% for opposition...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom