Baridi yaua 9 Marekani

Baridi yaua 9 Marekani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,618
Reaction score
9,611
Watu Tisa wamekufa nchini Marekani kutokana na baridi kali ambayo imelikumba eneo la nchi za Amerika ya Kaskazini, baridi ambayo inasemekana ni mbaya kutokea katika eneo hilo katika kipindi cha miaka kumi iliyopita.

Marekani na Canada zimekuwa zikishuhudia kiwango kikubwa cha theluji kikianguka, na hivyo kutatiza shughuli mbalimbali zikiwemo zile za usafiri.

Kiwango cha joto katika nchi hizo hivi sasa kimefikia nyuzi joto hasi 30 na kuna maeneo mengine kiwango hicho cha joto ni nyuzi joto hasi 40.

Safari nyingi za ndege zimefutwa katika nchi hizo za Marekani na Canada na kuwaacha wasafiri njia panda.

TBC
 
Kama mimi ningekua ndani nakula mzigo mara 3 kwa siku yaani ndo ingekuwa dozi ya baridi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wategemee mengi zaidi kwa madhambi yao.Sudani ya kusini wanakufa kwa Vita backed by this whites albinos,wayahudi weusi wanauawa bila kufikiria mara ya pili.wameua Africans Idealistics,,,,,wengi miakaya 60,bwana Martin alikufa kamuacha mjane kijana mbichi kabisa,
Alsha abab. SomaliaEthiopia nk.hawana vita lakini cha moto wana kiona; na mengi mengine yaja, wanatakiwa watubu toba ya haki,ila hakuna wa kuwastua sijui itakuwaje, na kwa taarifa tu idadi ya weusi inakuja kwa kasi kubwa,kuwapiku weupe baada ya karne kadhaa usa watakuwa weusi tu. na nasema wacha dhambi iwatafune na mwenyezi Mungu nisamehe.wanastahili iwatafune.hawawezi kutenda dhambi mbaya ivo wakabaki salama.mshahara waa dhambi ni......
...weusi hata kama wamo hao jua lao na mvua yao kwa hiyo ni chelea tu. wana suffer wote haichagui hiyo,sasa hao polisi weupe waka wapige risasi kwenye baridi tuone.
 
Ndo upuuzi gani huu!!!????
Hivi madrasa hamfundishwi "mwandiko"?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaambiwa baridi ni kali kiasi kwamba ukichota maji yanayochemka kutoka jikoni ukimwaga juu hewani kabla hayajarudi ardhini yameshaganda
Hot water freezes faster than cold water(mpemba effect) hata usishangae ndo iko ivo mwana fizikia mbongo anaitwa Mpemba ndo aligundua ilo wazungu wanamjua.
 
Wategemee mengi zaidi kwa madhambi yao.Sudani ya kusini wanakufa kwa Vita backed by this whites albinos,wayahudi weusi wanauawa bila kufikiria mara ya pili.wameua Africans Idealistics,,,,,wengi miakaya 60,bwana Martin alikufa kamuacha mjane kijana mbichi kabisa,
Alsha abab. SomaliaEthiopia nk.hawana vita lakini cha moto wana kiona; na mengi mengine yaja, wanatakiwa watubu toba ya haki,ila hakuna wa kuwastua sijui itakuwaje, na kwa taarifa tu idadi ya weusi inakuja kwa kasi kubwa,kuwapiku weupe baada ya karne kadhaa usa watakuwa weusi tu. na nasema wacha dhambi iwatafune na mwenyezi Mungu nisamehe.wanastahili iwatafune.hawawezi kutenda dhambi mbaya ivo wakabaki salama.mshahara waa dhambi ni......
...weusi hata kama wamo hao jua lao na mvua yao kwa hiyo ni chelea tu. wana suffer wote haichagui hiyo,sasa hao polisi weupe waka wapige risasi kwenye baridi tuone.
Wachache watakuelewa
 
Back
Top Bottom