Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, amependekeza uchaguzi wa mapema wa bunge.
Maduro alitoa pendekezo hilo baada ya maelfu ya watu kuandamana hapo jana wengine wakipinga serikali yake, na wengine...
Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuhusu uwezekano wa mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya nchi yake na kusema kuwa, hatua kama hiyo itaitumbukiza Marekani katika vita kama...
Bunge la Misri limejadili kuongeza muda wa kipindi cha urais kutoka miaka minne hadi sita na kuanzisha nafasi ya makamu wa rais, kulingana na ombi rasmi lililosainiwa na kuwasilishwa na moja ya...
Afrika ina viongozi wengi wakora lkn wengine wanasaidiwa na kuijua kwao dunia - mtu kama Paul Kagame ni kiongozi jeuri kweli(waweza kumwita katili) - lkn ni "GLOBAL CITIZEN". He is always in the...
Shirika la afya duniani limeonya kuhusu vitendo vya mashambulizi vinavyolenga wafanyakazi na taasisi za afya nchini Libya
Shirika la afya duniani latoa onyo nchini Libya
Shirika la afya duniani...
SIASA ZA MSIKITI UINGEREZA
Nimeishi Uingereza kwenye mji mmoja unaitwa Cardiff ambao ni mji mdogo ulioko Wales na kwa kawaida kwa Waingereza watu wa Wales wanadharaulika wanaonekana washamba...
Mahakama nchini Zimbabwe imemlima faini ya dola 700 mchungaji mmoja mashuhuri nchini Zimbabwe baada ya kumkuta na hatia ya kudanganya kuwa ana dawa ya miti shamba inayotibu Ukimwi.
Walter Magaya...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema kuwa umoja huo hautajihusisha na jitihada zozote zenye lengo la kumaliza mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini Venezuela.
Amewaambia...
PAPA FRANCIS: NIKO TAYARI KUWAPATANISHA VIONGOZI WA VENEZUELA
-
Amesema yuko tayari kuwapatanisha Rais Nicolas Maduro na kiongozi wa upinzani, Juan Guaido
-
Hata hivyo Papa amesema atafanya kazi...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mataifa matano ya US, UK, Ujerumani, Uholanzi na Uswisi yamemuomba radhi Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini baada ya yeye kulalamika kwamba mataifa hayo...
Leo asubuhi nimefanikiwa kuangalia na kuisikiliza hotuva yote ya Raisi wa Marekani Donald Trump
Katika hotuba yake amezungumzia mambo mengi ya kitaifa na kimataifa
Kitaifa amejaribu kuainisha...
Habari za huko nyumbani,
Kwa wale mliokuwa mubashara kwenye runinga zenu nadhani mlioona kituko cha mwaka alichofanya Rais Jimenez Pablo Martinez wa hapa Bolivia baada ya kumpiga mkwara mkewe...
Raia wa India Raphael Samuel mwenye miaka 27, anakusudia kuwafungulia mashtaka wazazi wake kwa kumzaa bila ridhaa yake. Samuel anasema kwamba ingawa anawapenda wazazi wake, lakini walimzaa kwa...
Mwanafunzi Shirima kutoka shule ya sekondar.Moshi ameshika nafasi ya kwanza.katika mashindano.ya jumuiya.ya Afrika mashariki.katika utambuzi wa vitu mbalimbali vinavyohusu taaluma na uandishi.wa...
Mwanahistoria Mzayuni: Hadi miaka 30 ijayo Israel itakuwa imeshatoweka
Jan 19, 2019 15:34 UTC
Benny Morris, mwanahistoria mashuhuri wa Kizayuni amesema: Hadi miaka 30 ijayo Israel haitakuwepo...
Habari za alasiri wana JF.
Niende moja kwa moja kwenye habari husika.
Ikiwa ni siku 14 zimepita tangu ndege aina ya Piper Malibu itoweke ikiwa na mwanasoka wa Argentina Emiliano Sala pamoja na...
Kuliwahi kuwa na ustaarabu ambao ulitikisa dunia.
Ambao uliweza kuunganisha mataifa makubwa katika mabara ambao ramani yake ilianzia bahari moja hadi bahari nyingine, kutokea kaskazini hadi...
#: Pope Francis arrived to Abu Dahbi, United Arab Emirates, in the first ever papal visit to the Arab Peninsula. Francis will also be the first pope to celebrate Mass in the region. He visited...
Kweli duniani kuna mambo!
Wajerumani wanaojisifia na barabara zinazoruhusu spidi yoyote uwezayo kukamua toka kwenye gari yako, sasa wameijia juu serikali kwa kutaka kuweka max speed limit ya...
Uamuzi huo umechukuliwa katika mkutano wa Tume ya Uchaguzi CENI Jumatatu wiki hii. Uchaguzi Mkuu haukuweza kufanyika katika maeneo hayo Desemba 30, 2018.
Sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi huo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.