lukubuzo Samsis
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 2,915
- 3,340
PAPA FRANCIS: NIKO TAYARI KUWAPATANISHA VIONGOZI WA VENEZUELA
-
Amesema yuko tayari kuwapatanisha Rais Nicolas Maduro na kiongozi wa upinzani, Juan Guaido
-
Hata hivyo Papa amesema atafanya kazi hiyo endapo ataombwa na pande zote mbili kufanya hivyo
-
Aliongeza kuwa amepokea barua kutoka kwa Rais Maduro ingawa bado hajaisoma na kujua ameandikiwa nini
-
Nchi ya Venezuela imekosa utulivu tangu mwaka 2010 wakati wa utawala wa Hugo Chavez na sasa hali imekuwa mbaya zaidi
-
Tangu wakati huo hadi sasa Wananchi wanailalamikia Serikali yao kwa kushindwa kutatua changamoto za Kiuchumi na Kijamii
#JF
Sent using Jamii Forums mobile app