Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Shirika la afya duniani limeonya kuhusu vitendo vya mashambulizi vinavyolenga wafanyakazi na taasisi za afya nchini Libya
Shirika la afya duniani latoa onyo nchini Libya
Shirika la afya duniani (WHO) limeonya kuhusu mashambulizi yanayolenga taasisi za afya nchini Libya.
Katika taarifa ya maandishi iliyotolewa na shirika hilo, inasema vitendo vya mashambulizi dhidi ya wafanyakazi wa afya na taasisi za afya nchini libya vilivyorekodiwa kati ya mwaka 2018-2019 ni zaidi ya 41.
Katika taarifa hiyo imeelezwa kwamba mashambulizi hayo yalipeleke vifo vya wagonjwa na wafanyakazi wa afya 6, huku wafanyakazi wa afya 25 wakijeruhiwa.
Mwakilishi wa WHO nchini Libya Jaffer Seyyid Husein ametoa wito kwa pande zote zinazohusika na mapigano nchini Libya kukomesha mara moja vitendo vya mshambulizi vinavyolenga wafanyakazi na taasisi za afya. Alisema vitendo hivyo ni kinyume cha sheria za kimataifa na ni makosa makubwa.