Rais wa Bolivia alivyompiga mkwara mkewe wakiwa mubashara runingani leo

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Habari za huko nyumbani,

Kwa wale mliokuwa mubashara kwenye runinga zenu nadhani mlioona kituko cha mwaka alichofanya Rais Jimenez Pablo Martinez wa hapa Bolivia baada ya kumpiga mkwara mkewe asichungulie kile alichokuwa anaandika kwenye kitabu chake.

Sasa najiuliza kama wakiwa mubashara mkwara ni ule, je huko faragha wakiwa wawili mambo huwa vipi?

Ndio vituko vya Marais wa huku ughaibuni, kama hujaona kituko hiko wala usitusumbue hapa jukwaani na si lazima uelewe kila kitu, nisalimieni sana huko nyumbani, nitarudi siku chache zijazo.

Wasalaam.
 
Kwa umbea huu wa kufuatilia inshu za waume za Watu utakuja kuolewa uke wenza laa kame wewe ni ME mchezo wa AmberR utakuhusu sooon
 
Habari za huko nyumbani,

Kwa wale mliokuwa mubashara kwenye runinga zenu nadhani mlioona kituko cha mwaka alichofanya Rais Jimenez Pablo Martinez wa hapa Bolivia baada ya kumpiga mkwara mkewe asichungulie kile alichokuwa anaandika kwenye kitabu chake.

Sasa najiuliza kama wakiwa mubashara mkwara ni ule, je huko faragha wakiwa wawili mambo huwa vipi?

Ndio vituko vya Marais wa huku ughaibuni, kama hujaona kituko hiko wala usitusumbue hapa jukwaani na si lazima uelewe kila kitu, nisalimieni sana huko nyumbani, nitarudi siku chache zijazo.

Wasalaam.
Jimenez Pablo Martinez - (JPM)
Bolivia - Bongo
 
Back
Top Bottom