tres bien
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 565
- 325
Leo asubuhi nimefanikiwa kuangalia na kuisikiliza hotuva yote ya Raisi wa Marekani Donald Trump
Katika hotuba yake amezungumzia mambo mengi ya kitaifa na kimataifa
Kitaifa amejaribu kuainisha mafanikio yake akiwa kama POTUS kama vile ongezeko la waajiriwa, mikataba minono ya kibiashara, bima ya afya, uimara wa jeshi lao na ushiriki wa wanawake kwa wingi hasa kwenye Congress.
Mafanikio hayo yote ni vigumu kuyasikia yakijadiliwa na vyombo vikubwa vya habari kama vile CNN, BBC, CBS nk ambavyo ni wazi viko against Trump kabla hata hajawa POTUS
Katika nyanja za kimataifa President Trump amezungumzia suala la mkataba wa nyuklia na Iran anaoupinga na kuiwekea vikwazo vikali nchi hiyo. Pia amefurahia uamuzi wake wa kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel
Ameijulisha dunia kuhusu mkutano wake na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini
Mengine aluyo yazungumzua ni suala la Venezuela, Mapambano ya HIV/AIDS na Saratani(Hasa kwa watoto wadogo)
Kilicho nifurahisha ni pale alipokuwa anatambua mashujaa wa nchi walioifanyia nchi makubwa kama vile kusimika Bender's mwezini na yule mniga aliyekuwa drug dealer na sasa amebadilika na kuwa mcha mungu
Hiyo ni machache ambayo nimeweza kuyanyaka