International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Amesema Nchi yake ina makonbora yanayoweza kupiga nchi yoyote ya Mashariki ya Kati. So Iran na waarabu wenye chokochoko nao wajiangalie sana
3 Reactions
203 Replies
20K Views
Distrust and anger shadow Vatican summit on sex abuse Pope Francis is set to open a four-day summit to fight the sexual abuse of children by members of the clergy amid scepticism and anger over...
0 Reactions
2 Replies
824 Views
Maduro Amuweka Ndani Mwanahabari Wa Kituo Cha TV Cha 'Univision' Cha Nchini Marekani Sababu Ya Video Hii! Katika hatua isiyokuwa ya kawaida, Mwandishi wa Habari wa kituo cha Habari cha Univision...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Bintimfalme Rima mwana wa Bandar al-Saud 2018 Bintimfalme Rima anafuata nyayo za babake wa kambo ambaye alishikilia wadhfa huo hadi mwaka 2005 Saudi Arabia imetangaza kwamba binti mfalme Rima bint...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Ameagiza matangazo yote ya vyakula ambavyo sio rafiki kiafya yatolewe kwenye vituo vya mabus na treni. Vyakula vyenye Sukari nyingi, chumvi nyingi na mafuta mengi. Hii ni sehemu ya mkakati wake...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Lagos, Nigeria. Mwanajeshi mmoja ameuawa na wengine 20 kujeruhiwa katika shambulio la kutumia mabomu ya kutupa kwa roketi lnalodaiwa kufanywa na kundi la Boko Haram Kaskazini Mashariki mwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa hatotangaza viwango vipya ya ushuru kwa bidhaa za China zenye thamani ya Dola Bilioni 200 za Kimarekani. Marekani ilitarajiwa kuongeza ushuru kwenye...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Wataalam wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa hii leo mjini Geneva Uswisi wamelaani kitendo cha kuteswa na kuuawa kwa wanaume tisa nchini Misri. Kupitia taarifa iliyotolewa na ofisi ya haki...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Rais wa Zimbabwe alieondolewa madarakani na jeshi la nchi hiyo mwaka 2017 Mzee Robert Mugabe amemuonya Rais wa sasa wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa aache kutumia vikosi vya majeshi kutuliza...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ndio demokrasia na uhuru na haki kwa wapiga kura wananchi baada ya kupiga kura kura zinahesabiwa huku raia wakishuhudia bila bughudha yoyote wala bunduki
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Idara ya habari ya Ikulu nchini Korea Kaskazini imethibitisha Kiongozi wao, Kim Jong Un anatumia usafiri wa treni kwenda nchini Vietnam kushiriki kikao chake cha pili na Rais wa Marekani, Donald...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Sijashtuka sana kuona au kusikia hivi, Ila nimeshtuliwa na kile kitendo cha hawa ndugu zetu wa nchi za Paradiso kutupa misaada katika nyanja ya Elimu huku huko kwao hali ni the same!! Uhaba...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Takribani watu 145 wamefariki baada ya kunywa pombe yenye sumu, Kaskazini Mashariki mwa India huku zaidi ya 200 wakilazwa Tukio limetokea ktk miji ya Golaghat na Jorhat ............. Guwahati...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gay & trans sex education to be taught to FIVE-YEAR-OLDS in UK & opting out is ILLEGAL davidicke.com | February 21, 2019 'The UK Conservative government is set to announce plans for the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Secretary of State Mike Pompeo said Wednesday that an Alabama woman who joined ISIS but now wants to return home with the 18-month-old son she had with her ISIS husband will not be admitted back...
1 Reactions
60 Replies
12K Views
Waandamanaji hao wameandamana kwa siku ya pili mfululizo hapo jana katika mji mkuu, Algiers wakimpinga Rais wa sasa Abdelaziz Bouteflika kugombea tena urais kwa awamu ya tano Waandamani hao ambao...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Msafara mkubwa wa wananchi unakwenda mpakani kupokea msaada wa madawa na chakula. Kupokelewa na tamasha kubwa la muziki-Venezuela live aid. Rival concerts pave way for Venezuela aid challenge
0 Reactions
7 Replies
2K Views
.... leadership perspectives - the case of Trump America has already fired him. When the public fires a president before election day, as it did Jimmy Carter, Nixon and Herbert Hoover, they...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza niaze kwa kusema kwamba mama Theresa may (PM) katika mchakato huu wa Brexit alianza akiwa kama Mpagani (asiyeuamini kabisa) akiwa kundi moja na akina David Cameron. Ghafla, David Cameron...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…