Venezuela live aid-tamasha zito la mziki mpakani Venezuela Columbia.

Yale ya Euro Maidan ya elekezwa mpakani mwa Venezuela na Colombia. Eneo limekaa vibaya sana...hapo Jeshi la Venezuela wanatakiwa 'kusecure' hayo maeneo yote potential kwa kujificha snipers wa maadui na waendesha drones za mashambulizi haraka sana. Eneo ni tete sana na linaweza kuwapa wakati mgumu Jeshi la Venezuela kukabiliana na 'Guerrilla warlords' watakao tumwa na US. Ili eneo wali'secure' haraka tena kwa kutumia very 'precise military powers'
===
Live coverage:
 
Uongozi wa kidictator hauna nafasi kwa sasa,,just a matter of time tutashuhudia wananchi wa Venezuela wakiwa huru kama wenzao wengi wa south america ..
 
Uongozi wa kidictator hauna nafasi kwa sasa,,just a matter of time tutashuhudia wananchi wa Venezuela wakiwa huru kama wenzao wengi wa south america ..

Pia tutaanza kushuhudia Mabepari yakienda kunyonya Mafuta ya Wa Venezuela kwa mikataba ya Ki Richmond Na IPTL

Kwanini America inaumizwa Na 'u dikteta ' wa Maduro lakin haiumizwi Na Umafia, uuaji Na Ubabe wa Tawala ya Kifalme ya Saudia, Rwanda, Uganda n.k?

Sasa hivi Wakili wa Utawala wa Saudia dhidi ya Mauaji ya Mwandishi Kashhoghi Ni Utawala wa Kidemkrasia wa Trump
 
Naona wameanza kuwa provocke polis...vibaraka vya US vinawageuka wananch wao...too bad na very shameful...!!!
===
Fuatilia live coverage kwenye link niliyoweka hapo juu.
Ni hatari sana ...

Raia wanaomuunga mkono Maduro wamewatimua wa yule Muasi...Guado...hali imechemka...mpakani Venezuela la Colombia.
Kwenye hizi purukushani si Muoni Guaido...!!
 
Ahsante mkuu kwa kutujuza, endelaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongozi wa kidictator hauna nafasi kwa sasa,,just a matter of time tutashuhudia wananchi wa Venezuela wakiwa huru kama wenzao wengi wa south america ..
Udikteta upi Ndugu? Ni kama ule wa Iraq,Libya,Syria,China,Urusi..etc au sio? So inabidi democrasia kama ya Israel,Marekani, ufaransa,Ukraine,.. Etc..Akili kichwani ndugu. Kila abiria na achunge mzigo wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom