International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais wa Sudan Omar Al Bashir ametangaza kuivunja serikali ya nchi hiyo. Pia ametangaza hali ya dharura kwa kipindi cha mwaka 1. Akizungumza kutoka ikulu ya nchi hio kupitia televisheni ya taifa...
8 Reactions
67 Replies
14K Views
Mafuriko yaliyotokana na mvua za mfululizo yamesababisha vifo vya watu 12 nchini Afghanistan na uharibifu mkubwa wa mali Mafuriko yaua 12 Kandahar nchini Afghanistan Watu 12 wamepoteza maisha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ripoti ya Umoja wa Mataifa: Burundi yamsaidia Jenerali muasi wa Rwanda na RFI Jenerali muasi katika jeshi la Rwanda (RDF) Faustin Kayumba Nyamwasa. Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeonesha kuwa...
8 Reactions
387 Replies
37K Views
MCHUNGAJI mmoja nchini Afrika Kusini, Paseka Motsoeneng, maarufu kama Pastor Mboro, ambaye alishawahi kudai kuwa alifika mbinguni na kupiga picha na Mungu (kwa kutumia simu – ‘selfie’) amempa...
3 Reactions
63 Replies
10K Views
Wanajeshi hao wa Serikali pamoja na wale walioungana na Serikali wameuawa leo alfajiri katika mapigano yaliyotokea karibu na mji wa Idlib, Masasna Maeneo ya Idlib na sehemu chache kuzunguka...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Fikiria sentensi kama hii ya Trump "Explaining why the summit broke down, Mr Trump said: "Well, they wanted to denuke certain areas and I wanted everything." Yaani Trump alipoulizwa kwa nini...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
A pilot, William Chandler has resigned from South African Airways (SAA) after flying for more than 20 years with a fake licence. South African Airways said it discovered William Chandler's...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
media Rais wa DRC Félix Tshisekedi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi, ameahidi kuwaachilia huru wafungwa wote wa kisiasa ndani ya siku kumi zijazo. Akielezea mipango ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Saa 5 na dakika 37 macho na masikio ya raia wa Rwanda yataelekezwa kwenye kituo cha televisheni cha Taifa hilo kuangalia uzinduzi wa 'Satellite' hiyo Satellite hiyo iliyopewa jina la 'Icyerekezo'...
4 Reactions
54 Replies
9K Views
Naomba kujua malipo ya ushuru Wa vyombo vya moto unapoagizia kutoka China kuja Tanzania Mwenye udhoefu tafadhari tuambizane namba zangu za WhatsApp 0787701403 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SERIKALI ya Bangladesh imezima takriban tovuti 20,000 ambazo zimekuwa zikipeperusha mambo ya ngono na michezo ya kamari, kama sehemu ya operesheni ya kumaliza biashara hiyo, waziri amedhibitisha...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Lebanon yamtia nguvuni jasusi wa utawala haramu wa Israel Jan 23, 2019 07:53 UTC Jeshi la Lebanon limemtia mbaroni ajenti wa Shirika la Ujasusi la Utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad)...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
CALIFORNIA, MAREKANI NYUMBA ambayo inatajwa kwamba ilikuwa inatumika na Michael Jackson kunyanyasa kijinsia vijana wa kiume wenye umri mdogo, imetangazwa kuuzwa. Nyumba hiyo ambayo ipo mjini...
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amesema leo kwamba alitoka kwenye mkutano wa kilele kuhusu makubaliano ya mpango wa nyuklia na kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un kwasababu ya masharti...
5 Reactions
27 Replies
7K Views
Mchungaji wa Afrika Kusini Alph N Lukau, mwanzilishi na Mkuu wa Alleluia Ministries International ameripotiwa amemfufua mtu aliyekufa wakati wa huduma ya Jumapili leo asubuhi. Sent using Jamii...
0 Reactions
217 Replies
31K Views
Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na kituo cha Utafiti wa miamba cha nchini Marekani, tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.1 kipimo cha richter limeikumba nchi ya Peru Tetemeko hilo lililokuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
DEREVA wa basi la Mwendokasi, Khalid Shaha (43), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, akikabiliwa na shtaka la kumkata kidole Godfrey Liwa kwa kioo cha...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
India Yafanya Mashambulizi Ya Anga Nchini Pakistan India kupitia Wizara ya Mambo ya Nje imesema kuwa, imefanya mashambulizi ya anga katika kambi ya mafunzo ya Jaish-e-Mohammed nchini Pakistan...
3 Reactions
137 Replies
14K Views
Baada ya ushahidi wa Cohen, aliyekuwa mwanasheria binafsi wa Trump, sasa ni wazi kwamba Congress ya Marekani ambayo ina Democrats wengi zaidi itachukua uamuzi wa kum-impeach raisi Trump ili...
9 Reactions
58 Replies
5K Views
Back
Top Bottom