Rais wa Korea Kaskazini atumia Treni kwenda kukutana na Rais Trump

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,283
2,000
Idara ya habari ya Ikulu nchini Korea Kaskazini imethibitisha Kiongozi wao, Kim Jong Un anatumia usafiri wa treni kwenda nchini Vietnam kushiriki kikao chake cha pili na Rais wa Marekani, Donald Trump

Shirika la habari la Korea Kaskazini, mapema leo limeripoti kuwa Kiongozi huyo ameambatana na Kim Yong Chol, ambaye ni msaidizi wake muhimu katika majadiliano hayo pamoja na dada yake, Kim Yo Jong

Majadiliano hayo yanayohusu silaha za nyuklia yamepangwa kufanyika Jumatano na Alhamisi wiki ijayo katika mji mkuu wa Vietnam, Hanoi

Katika mazungumzo ya kwanza yaliyofanyika mwezi Juni 2018 nchini Singapore yalimalizika bila kuwa na makubaliano makubwa juu ya Korea Kaskazini kuachana na silaha za nyuklia

10844068-3x2-xlarge.jpg


======

The Latest on North Korean leader Kim Jong Un’s travels to the summit with President Donald Trump in Vietnam

North Korean state media has confirmed that leader Kim Jong Un is on a train to Vietnam for his second summit with U.S. President Donald Trump.

The North’s official Korean Central News Agency reported early Sunday that Kim was accompanied by Kim Yong Chol, who has been a key negotiator in talks with the U.S., and Kim Yo Jong, the leader’s sister.

Late Saturday, an Associated Press reporter saw a train similar to one used in the past by Kim cross into the Chinese border city of Dandong via a bridge.

The Trump-Kim meeting is slated for Wednesday and Thursday in Hanoi.

Their first summit last June in Singapore ended without substantive agreements on the North’s nuclear disarmament and triggered a months-long stalemate in negotiations
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,483
2,000
... masoshalisti kwa sifa wamezidi. So, cha ajabu nini.
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,483
2,000
... masoshalisti kwa sifa wamezidi. So, cha ajabu nini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom