comrade wetu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2018
- 964
- 605
Rais wa Zimbabwe alieondolewa madarakani na jeshi la nchi hiyo mwaka 2017 Mzee Robert Mugabe amemuonya Rais wa sasa wa Zimbabwe Emerson Mnangagwa aache kutumia vikosi vya majeshi kutuliza maandamano na kusasabisha mauaji kadhaa nchini humo,Mzee Mugabe ameyasema hayo juzi tarehe 16.2.2019 wakati akisherehekea kutimiza miaka 95 ya umri wake duniani katika jumba lake la kifahari nchini humo,alimuonya kwamba madaraka hayadumu milele katika Maisha ya binadamu hivyo aache kuua watu wake wenyewe,kuna maandamano yalitokea nchini Zimbabwe baada ya bei ya vitu hasa mikate kupanda sana nchini humu hivyo wananchi wakaingia mitaani kulaani hali hiyo mbaya ya ongezeko la bei ya vitu hasa mikate, maandamano hayo yalitokea tarehe 14.2.2019 katika mitaa ya jiji la Harare hivyo Rais mnangagwa alituma vikosi vya majeshi na kuua wananachi zaidi ya 17 na wanawake kadhaa kubakwa,hotuba ya Mugabe ilibeba ujumbe mzito sana kuhusu serikali inavyowatendewa wananchi wa Zimbabwe alisema" unajiona uko juu,wewe sio Mungu unapenda kutukuzwa lakini fahamu wewe sio Mungu,leo upo juu lakini kesho utakua chini na Mungu ana njia zake za kuadhibu watu wakatili ,ninaongea ukweli sijali yatayotokea" alisema mzee Mugabe kiongozi wa zamani wa Zimbabwe
Chanzo: Zimbabwe Standard Harare
© AP Photo/Tsvangirayi Mukwazhi File picture of of Zimbabwean ex-leader Robert Mugabe.
Former president Robert Mugabe yesterday warned his successor, Emmerson Mnangagwa, that power does not last forever as he strongly condemned the deployment of soldiers to quell the January 14 protests.
Mnangagwa on February 16 boasted that he deployed the army to deal with violent protesters despite complaints by human rights groups that soldiers had allegedly killed at least 17 people and raped several women.
Mugabe, who was toppled by the army in 2017, took advantage of his 95th birthday celebrations held at his Harare mansion to launch a renewed attack on Mnangagwa, telling him that he was not God.
According to accounts by some of the invited guests, Mugabe's speech was emotionally charged, which could be an indication that his relations with his protégé are strained once again.
Jealousy Mawarire, the spokesperson of the Mugabe-linked National Patriot Front, first posted about Mugabe's outbursts on Twitter.
He quoted the former Zanu PF leader saying: "You are at the top, you want to glorify yourself.
"You are not God. Today you are at the top, tomorrow you will be at the bottom, know that.
"God has His own way of punishing rogues and cruel people."
Mugabe then thundered: "I am telling you in your face. I don't care what will happen to me."