Serbia: Mpenzi wa waziri mkuu Ana Brnabic ajifungua mtoto wa kiume.
Mpenzi wa jinsia moja wa waziri mkuu wa Serbia Ana Brnabic amejifungua mtoto wa kiume.
Ripoti zinasema kuwa mama aliyejifua...
Mahakama imemhukumu kifungo cha miaka 15 jela aliyekuwa Rais wa Korea Kusini, Lee Myung-bak baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya rushwa
Lee anakuwa Rais wa nne wa nchi hiyo kuhukumiwa kutumikia...
Dhaka: At least 70 people were killed when fire tore through crumbling apartment blocks in a historic part of Dhaka, setting off a chain of explosions and a wall of flames down nearby streets, the...
Mahakama Kuu Divisheni ya Uhukumu Uchumi imemhukumu raia wa Peru, Wallenstein Santillan kwenda jela miaka 20 baada ya kupatikana na hatia ya kuingiza nchini dawa za kulevya aina ya Cocaine gramu...
Rais Donald Trump amesema kuwa anatafuta njia ya kuruhusu kampuni ya teknolojia ya China kurudi kufanya biashara haraka” baada ya uamuzi wa kibiashara wa Marekani kudhoofisha vibaya sana kampuni...
Wajuzi naomba mniambie inamaana pamoja na kusifiwa kote kule kwamba India wako njema kwenye reli kumbe hata High Speed train walikua hawana?
Yote kwa yote Nimeipenda hiyo mwendo kasi yao, nadhani...
Huyu ni mgombea urais nchini Malawi Mh Chikomeni Chirwa ambaye ni Rastafarian , akiwa na Mgombea mwenza Mh Nyness Kanyange ambaye pia ni Mama yake Mzazi .
Mungu ibariki Malawi
Mwanzilishi wa kampuni ya simu ya Huawei amesema hakuna "njia yeyote ambayo Marekani inaweza kuivunja" kampuni hiyo.
Katika mahojiano maalumu na BBC, bwana Ren Zhengfei ameelezea kukamatwa kwa...
Shirika lingine hili nalo limefifisika BMI budget airline limepaki.
Nasikia ATCL nalo linasukumwa na abiria sasa habari ndio hiyo.
Tundu Lissu, Zitto Kabwe walituonya tukawaona wachawi haya...
ma millioni ya Chavistas wanaounga mkono simon Bolivar revolution na wafuasi watiifu wa Hugo Chavez na mfumo wa socialismo wamejitokeza barabarani kuandamana kumsapoti Raisi Nicolas Maduro...
We’ve come up with a list of the Poorest African Countries as of 2019.
The below list features African countries living in extreme poverty
The major factor in determining the poorest countries in...
Russia Blames U.S. for Terrorism and War in the Middle East
Russian Foreign Minister Sergey Lavrov has said the U.S. is to blame for the terrorism, war and instability racking the Middle East...
Leo nimesikia habari mchana huu kuwa Marekani ina mpango wa kuiuzia Saudia Teknolojia ya urutubishaji wa Nyuklia! Licha ya muandishi wa habari wa Saudia kuuwawa na maofisa wa Saudia na Marekani...
Lori limegongana na msafara wa harusi na kusababisha vifo vya watu 13 katika jimbo la Racastan magharibi mwa India.
Afisa Mkuu wa Wilaya Shyam Singh Rajpurohi, amesema kuwa ajali hiyo imetokea...
The son of Mozambique's former president Armando Guebuza was arrested on Saturday in a legal crackdown on suspects linked to a $2 billion government debt scandal, local media and judiciary sources...
Yani kale kaeneo wanakojivunia ni kadogo sawa tu na chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Ndio ka eneo ambako kamepambwa kwa bara bara nzuri na majengo ya kisasa. Ukitoka nje ya hapo, ni majanga!
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amesema baada ya uchaguzi kumalizika, Tume ya Uchaguzi (INEC) inafaa kueleza sababu za kuahirishwa kwa uchaguzi huo kwa muda wa juma moja huku akiwaonya wale walio...
Prince wa Saudi Arabia anayetuhumiwa kutoa amri ya kuuwawa kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi ametoa ofa ya Bilioni £3.8 , sawa na Trilioni 11.4 za Tanzania, ili kuinunua timu ya Manchester...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.