Uhaba wa walimu, mishahara midogo Uingereza.

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
996
Sijashtuka sana kuona au kusikia hivi,

Ila nimeshtuliwa na kile kitendo cha hawa ndugu zetu wa nchi za Paradiso kutupa misaada katika nyanja ya Elimu huku huko kwao hali ni the same!!

Uhaba walimu wa Sayansi kama kwetu.

Uzito wa kushughulikiwa matatizo ya walimu kama kwetu.

Mishahara midogo kama kwetu.

Ila nadhani labda Infrastructure tu ndo ziko poa ila TZ hili ni tatizo nyumba za walimu ni janga.

PENGINE NI UELEWA WANGU MDOGO. ( CRITICS PERMITTED)

ILA NIMEIFUMA HII WAKATI NAPITA HUKO BBC.

Ila nimependa jinsi wanavyotaka kupunguza paperworks na kuna baadhi ya shule pia zimepiga chini kabisa marking tasks Ku reduce overwork na Ku increase teaching time.

(Tuchambue kidogo)
View attachment 1007164View attachment 1007165
Screenshot_20190128-190459.jpeg
Screenshot_20190128-190757.jpeg
Screenshot_20190128-191023.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wakapate seminar kwa Angela Merkel

Ila lazima tujue hiyo misaada no ni namna ya kusambaza influences zao (propaganda) etc
 
Pound 42000 unazidisha Mara 3250, maana pound moja ni sawa na tshs 3250 unapata kama 140,000,000/_ Tanzania shilling s kwa mwaka ambayo ukigawa kwa 12 unapata kama 11,350,000/_ kwa mwezi. Acheni kutoa majibu ya haraka eti laki mbili na ushee . chezea pound ya muingerza wewe? Sasa sema Kazi ya ualimu uingereza ni ngumu sana kwa sababu kila somo lazima utoe zoezi na usahihishe na Kazi inakaguliwa. Na hata mzazi Mtoto wako asipofanya zoezi LA somo lolote ,kesho yake unatoa faini ya pauni 50(165000/_ t,shs) Kwa mzigo huo vijana Wa uingereza wameona mchoko wote huo Wa nini wakati kuna Kazi zenye suluba ndogo na hiyo hela unaweza kupata . Lakini isingekuwa ubaguzi Wa wazungu Nina imani Tz na afrka inayoongea kiingereza tungewapa walimu wazuri Wa sayansi na hisabati ,mshahara huo ni mkubwa mno kwetu. ila sasa sijui cost of living itakuacha na shilingi ngapi mwisho Wa mwezi. Hasa kupanga nyumba ulaya ni Pasua kichwa. Hiyo ndio imesababisha uhaba Wa walimu
. kwa ufahamu wangu mdogo.

Yaani Tz itoe Walimu wa Science iwape Waingereza?! Unamaanisha hizi product za shule ya kata?! No offense though!
 
Hivi unadhani MTU mwenye IQ kubwa anahitaji kusoma hizo shule za international au English medium ndipo upate uwezo wa masomo ? Fanya utafiti wanaochukua kozi za Medicine na Engieering nusu watakuwa wamesomea shule za kawaida kabisa. Kutamba kwa hizo shule za bei mbaya mwisho form six baada ya hapo ni vipaji maalum ndio wanatesa kwenye masomo na kozi ngumu. Mwenyezi MUNGU ni mwenye haki, pesa haiwezi kufanya uelewe masomo ya physics Maths Chemistry na Biology. Na hayo ndio masomo yenye uhaba wa walimu hata huko Ujerumani. Hayo ni masomo ya wateule wa Muumba sio ya matajiri. Kwa hiyo mwanahisabati bora kabisa wa Tanzania anaweza akashindana na wa Uingereza na ujerumani. Hivyo naamini tunaweza kuwapa wataalamu Uingereza , kama unabisha hill huelewi ELIMU duniani ni nini , umekariri tu shule za kati. mbona kuna shule za kata zinatoa Div 1 point 11 mwaka huu .na miaka yote hivi huyo future yake akienda Tabora Boys atafanyaje form six? Acha kukariri imani za dharau( saint Kayumba hawana ELIMU). Umepotoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao nyumbuzi hawaijui pound ndo maana wanabwata

Back
Top Bottom