RUSSIA ilipiga makombora huko Syria kutoka bahari ya caspian sea zaidi ya 1,000kms yakipitia Iraq huku yakikwepa milima kama mbayuwayu
MISSILE IN FLIGHT
The subsonic missile is powered...
Kimbunga Kenneth kimetokea africa, lakini nchi za Africa ambazo hazijaathirika zipo lakini hatuwezi kufanya uokozi kwa waliokwama huko,wazungu wametoka huko mbali wamekuja kufanya uokozi na kutoa...
Wizara ya habari ya Somalia imetangaza kuwa, wapiganaji watano wa kundi la al-Shabab akiwemo mtaalam mwandamizi wa mabomu wamejisalimisha kwa serikali ya Somalia wiki hii.
Wizara hiyo imesema Bw...
Mwendesha mashitaka mkuu nchini Sudan ameamuru kuhojiwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani Omar al Bashir kuhusu madai ya "utakatishaji fedha na kufadhili ugaidi"
Chini ya Utawala wa Bashir, Sudan...
Mahakama Kuu ya Sheria ya Venezuela imesema majaji wa nchi hiyo wametoa amri ya kumkamata kiongozi wa upinzani Leopoldo Lopez baada ya yeye kushiriki kwenye jaribio la mapinduzi ya kijeshi na...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amejitolea kuwa msuluhishi wa mgogoro wa kisiasa unaondelea nchini Sudan baada ya kupinduliwa kwa rais Omar al Bashir wiki iliyopita.
Miezi michache iliyopita al...
Mamia kwa maelfu ya watu wamehamishwa kwenye pwani ya mashariki mwa India wakati kimbunga kikali kikivuma kuelekea Ghuba ya Bengal kabla ya kupiga leo.
Idara ya Hali ya Hewa ya India imesema...
Marekani yazungumzia uwezekano wa hatua za kijeshi kumuondoa Maduro
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amesema nchi hiyo iko tayari kutumia nguvu za kijeshi kumaliza mzozo wa kisiasa...
Mwendesha Mashtaka ameamuru aliyekuwa Rais wa Taifa hilo ahojiwe kwa tuhuma hizo
Uchunguzi wa tuhuma za utakatishaji wa fedha ulianza mara baada ya mamilioni ya dola za kimarekani kukutwa...
According to the U.S. Census Bureau, national poverty rate was 12.3 percent or 39.7 million Americans in 2017. These states have the highest percentages of poverty in the country: Louisiana...
Maandamano makubwa dhidi ya Baraza la Kijeshi Sudan yanafanyika tena leo
Mei 03, 2019 07:34 UTC
Mandamano makubwa ya kulishinikiza Baraza la Kijeshi nchini Sudan likabidhi uongozi na madaraka ya...
Mzozo wa kuwania madaraka nchini Venezuela kati ya Rais Nicolas Maduro na spika wa bunge, Juan Guaido, unazidi kufukuta, huku Urusi na Marekani zikichukuwa nafasi yao kwenye taifa hilo la Amerika...
Siku chache baada ya muda wa siku 30 kupita bila ya jeshi la Sudan kukabidhi madaraka kwa utawala wa kiraia, umoja wa Afrika umeongeza siku 60 kwa jeshi hilo kufanya hivyo au likabiliwe na...
VENEZUELA: Rais Maduro ametoa ombi hilo baada ya mpinzani wake Juan Guaido kuandamana akiwa na vijana wenye silaha
Guaido naye pia aliomba Jeshi limuunge mkono katika harakati zake za mapinduzi...
Wanainchi wa Benin wanashiriki uchaguzi wa wabunge wapya bila wagombea wa upinzani.
Tume ya uchaguzi mwezi uliyopita uliviidhinisha vyama viwili vay kisiasa vinavyodaiwa kumuunga mkono rais...
Washington (CNN) — Deputy Attorney General Rod Rosenstein, who appointed special counsel Robert Mueller to investigate Russian interference in the 2016 presidential election, submitted his...
At least 100 people are reported to have been killed and more than 250 injured in explosions at churches and hotels in Sri Lanka.
At least six explosions have been reported. Three churches in...
Marekani yatishia kuiwekea Uturuki vikwazo vipya ikinunua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia
Apr 23, 2019 07:02 UTC
Uhusiano wa Marekani na Uturuki umekumbwa na msuguano mkubwa hasa baada...
Mzuqa wanajamvi!
Aliapa atakufa na Maduro na kumlinda kwa maisha yake dhidi ya mabeberu. Ila jana kaandika kujiuzulu na kuunga juhudi za upinzani Venezuela dhidi ya Dikteta Maduro.
Manuel...
Baada ya miongo mingi ya kusuasua kwa uamuzi wa kuhamisha makao makao makuu ya nchi ya Indonesia kutoka Jakarta hatimaye Rais wa Taifa hilo, Joko Widodo awataka wananchi watoe mapendekezo
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.