Viongozi wa dunia washiriki Kongamano la Barabara ya Hariri, China; Marekani yatengwa
Apr 27, 2019 07:38 UTC
Zaidi ya viongozi 40 na wajumbe elfu tano kutoka nchi mbalimbali duniani wanakongamana...
Katika mpango huo uliovuja:
Mpango unahusisha kuchochea ugomvi wa wenyewe kwa wenyewe ndani ya Lebanon halafu Israel ivamie eti kwenda kuzuia mauaji ya raia.
Mpango huo unalenga kwa Marekani...
Earlier Today:
The Supreme Court in Rwanda has rejected a challenge to a law which says it is a crime to insult the president.
The law, which was introduced last year, means that anyone insulting...
Afrika
Habari ya leo huko Congo wananchi wanne wauwawa na magari mawili kuchomwa na waasi.
Wananchi uganda kaskazini enzi za konyi walikuwa wanakatwa mikono, wanauwawa na kufanyiwa kila unyama...
Intel minister: Iran identified 290 CIA spies, made arrests
Home / Iran
/ Defence
Iranian Intelligence Minister Mahmoud Alavi speaks before weekly Friday prayers sermons in the Iranian capital...
Sudan's ruling military council and the opposition alliance have reached an agreement in principle to form a new body to run the country until the next election.
The agreement was reached during...
Kikundi cha waasi wa fdl siku ya Leo wamekamatwa nchini Tanzania huko maeneo ya ngara mkoani kagera.
Waasi hao wamekamatwa na maafisa wa usalama.
Source BBC Swahili
Shambulio la anga la majeshi ya ushirika yakiongozwa na Saudia huko Yemen limeua waasi wa Kihouthi si chini ya 38 ikiwa ni pamoja na makamanda wawili. Shambulio hilo lililenga mkutano wa juu wa...
1: The Nour al-Din al-Zenki Movement
Hili ni Kundi dogo la "waasi" wanao jihusisha na vita ya "wenyewe kwa wenyewe" huko Syria . Lilianzishwa mwaka 2014 na kupokea silaha nzito za kulipulia...
Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umesema waasi 50 wa Houthi wamesafirishwa kuelekea Oman kwa ajili ya matibabu huku Martin Griffiths akiwasili mjini Sanaa kwa mazungumzo na waasi...
Iran yatoa onyo kwa Saudia na Bahrain zisimfuate kibubusa Trump
Apr 25, 2019 14:10 UTC
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa onyo kwa tawala za kiimla za Saudi...
Iran designs, builds three new missiles for attack copters
Apr 26, 2019 05:13 UTC
Experts at Iran’s Defense Ministry and the Army Aviation have designed and produced three new missiles to be...
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameteua tume itakayofanya uchunguzi ili kubainisha Ufaransa kuhusika katika Mauaji ya Kimbari yaliyotokea nchini Rwanda kati ya mwaka 1990 na 1994.
Wachunguzi hao...
Askofu Epiphanius aliuawa na watawa wake ndani ya jengo hili la kanisa
Watawa wawili wa kiume wa Kanisa la Khufti (Coptic) wamehukumiwa kifo nchini Misri kwa mauaji ya askofu mwaka 2018, maafisa...
Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kuwa Marekani itajitoa kwenye makubaliano ya kimataifa kuhusu biashara ya silaha ATT uliosainiwa na serikali ya Obama.
Rais Trump ametoa taarifa hiyo...
Kamati ya Mahusiano ya Kimataifa ya Bunge la Uingereza imetoa taarifa inayoonya juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia kati ya nchi zenye silaha hizo.
Kamati hiyo imeeleza kwamba...
Zarif: Iran ina Shahada ya Uzamivu (PhD) ya kukabiliana na vikwazo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Jamhuri ya Kiislamu haitasimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya...
Pamoja na kifo hicho kimesababisha uharibifu mkubwa Kaskazini mwa Msumbiji ambapo kimeharibu nyumba, kimeangusha miti na kusababisha kukatika kwa nishati ya umeme
Mwanamke mmoja katika Mji wa...
Colombo, SRI LANKA.
Rais was Sri Lanka, Maithripala Sirisena, amewafuta kazi Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa Jeshi la Polisi la nchi hiyo kufuatia miripuko ya kigaidi ya siku ya Jumapili iliyopita...
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amewasili katika mji wa bandari wa Vladivostok nchini Urusi kwa mkutano wake wa kwanza kabisa na Rais Vladimir Putin.
Kremlin imesema kuwa viongozi hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.