International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Al Shabaab maana yake ni vijana wa kiume likiwa ni zao la Al Qaeda sasa hapa utaona jinsi wanavyofunzwa kambini na wanavyotawala. Pia utamsikia msemaji wao. Kwa kweli jamaa wanafanyiwa...
5 Reactions
139 Replies
20K Views
Mwaka mmoja baada ya Marekani kujiondoa kwenye mkataba wa nyuklia wa Iran, serikali ya Washington imeweka vikwazo vipya dhidi ya serikali ya Tehran. Hatua hizi zinakuja wakati Iran imetangaza kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msemaji wa kikundi cha Waasi cha National Liberation Front(NLF) Nchini Rwanda, Maj Sankara Callixte amesema hawana namna nyingine zaidi ya kupigana na Rais Paul Kagame huku akimsema Rais huyo ni...
9 Reactions
167 Replies
22K Views
Iran imesema itaongeza urutubishaji wa madini ya uranium baada ya siku 60, mwaka mmoja baada ya Marekani kujiondoa kwenye mkataba huo wa kimataifa. Rais Hassan Rouhani amesema baada ya siku 60...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Why cannabis stocks are soaring 03:10 (CNN) — A bipartisan group of attorneys general from 33 states and five territories are urging Congress to advance a bill that would allow cannabis businesses...
1 Reactions
0 Replies
635 Views
Waziri Mkuu Theresa May amemfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Gavin Williamson kwa tuhuma za kuvujisha taarifa kuhusu kampuni ya Huawei Inaelezwa kuwa taarifa zilizovuja zilihusu mpango wa Serikali ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mkulima mmoja nchini Ufaransa amewaandikisha shule kondoo wake 15 ili kuongeza namba ya wanafunzi baada ya mamlaka za kijiji kimoja kutangaza kutaka kusitisha masomo. Shule ya Jules Ferry...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Watu 41 wamefariki dunia baada ya ndege waliyokuwa wamepanda kupatwa na hitilafu na kuwaka moto. Tukio hili limetokea jijini Moscow, baada ya ndege hiyo kujaribu kutua kwa dharura kwenye uwanja...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Huyu jamaa alikua na wake wawili lakini hakuwahi kuwa na watoto Mke mkubwa anajulikana kwa jina la Fatma khalidi Al bashir (picha ya kwanza) Mke wa pili anajulikana kwa jina la Widad Babiker...
3 Reactions
32 Replies
7K Views
UCHAGUZI MKUU AFRIKA KUSINI TAREHE 8 MEI 2019, EFF, CHAMA CHA MFANO AFRIKA, JULIUS MALEMA KIONGOZI WA MFANO AFRIKA. Na.Comred Mbwana Allyamtu Sunday-5/Mei/2019. Marangu,Kilimanjaro-Tanzania...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Pompeo: Ndani ya CIA tulikuwa na kozi maalumu ya namna ya kusema uongo na kutapeli Apr 24, 2019 04:29 UTC Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ambaye zamani alikuwa Mkuu wa Shirika la Kijasusi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hoja za Richard Quest kwenye mjadala wa ndege iliyoungua Moscow Baadhi ya hoja zake anashangaa kwa nini ndege iliyumba kama vile kuna matuta hewani wakati inakaribia ardhini kuja kutua kwa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Hizbullah: Lengo letu ni kuuangamiza utawala wa kizayuni wa Israel Apr 20, 2019 08:07 UTC Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, njia ya...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mkuu wa jeshi la polisi Chandana Wickramaratne amesema leo, maafisa wa usalama nchini Sri Lanka wamewauwa ama kuwakamata wapiganaji wote wa jihadi wanaohusika katika mashambulizi ya kujitoa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The death toll from a tanker truck explosion near the international airport in Niger's capital, Niamey, has risen to 60, authorities said Tuesday. The tally is likely to rise further as the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Muqawama wa Palestina watoa jibu kali kwa uchokozi wa utawala wa Kizayuni Mei 04, 2019 14:06 UTC Muqawama wa Palestina umevurumisha zaidi ya makombora 100 kwenda vitongoji vya karibu na Ukanda wa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Jeshi la Israel limeondoa vizuizi karibu na eneo la Gaza kusini mwa Israel, huku Hamas ikiripoti kuwa mpango wa kusitisha mapigano umefikiwa ili kumaliza mapigano kati ya pande hizo mbili tangu...
0 Reactions
3 Replies
736 Views
Msemaji wa Ofisi ya Rais, amesema kuwa takribani wa 60 wamejeruhiwa na wako katika hali mbaya na kuleta hofu ya idadi ya vifo kuongezeka Moto huo ulioanzia msituni na kuchochewa na upepo mkali...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Taarifa ya UN inaeleza kuwa raia 4 kati ya 10 wa Taifa hilo wanaishi katika mashaka ya kukosa chakula huku hali ikitarajiwa kuwa mbaya zaidi kwa siku zijazo - Wananchi hao wanasubiri msimu ujao wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HIVI NDIVYO "OPERATION DESERT STORM PHASE II", ILIYO ONGOZWA NA MAREKANI ILIVYO TAMATISHA UTAWALA WA SADDAM HUSSEIN ABD AL-TIKRITI NCHINI IRAQ. Na. Comred Mbwana Allyamtu Monday -13/8/2018...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom