Top 10 Poorest States in USA

Top 10 Poorest States in USA

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
34,796
Reaction score
94,581
According to the U.S. Census Bureau, national poverty rate was 12.3 percent or 39.7 million Americans in 2017. These states have the highest percentages of poverty in the country: Louisiana, Mississippi, New Mexico, West Virginia, Alabama, Arkansas, Kentucky, South Carolina, Arizona, and Georgia.

1086239
 
Kumbe, ndio maana wabongo wamejazana hapo Mississippi
 
Kumbe, ndio maana wabongo wamejazana hapo Mississippi
 
Bora kuzaliwa mbwa USA Kuliko kuzaliwa msela bongo
 
... huo umasikini ni kwa viwango vya US ukumbuke hilo. Kwa mfano, Mississippi imetajwa hapo; mwaka 2017 hilo jimbo lilikuwa na GDP ya USD 115.749 bilioni wakati Tanzania (kama nchi) ilikuwa na around USD 57.9 bilioni. Hizi takwimu lazima zisomwe kwa umakini na tahadhari kubwa.
 
Kwa kweli........
 
Ile ni developed country, umasikini wao ni relative na huko waliko, huwezi kufanya mlinganisho na huku kwenye "Shithole Countries" ambapo ndege tu ikinunuliwa ofisi zote za serikali hufungwa na watumishi kwenda airport kuona ndege.
 
According to the U.S. Census Bureau, national poverty rate was 12.3 percent or 39.7 million Americans in 2017. These states have the highest percentages of poverty in the country: Louisiana, Mississippi, New Mexico, West Virginia, Alabama, Arkansas, Kentucky, South Carolina, Arizona, and Georgia.

View attachment 1086239

Akili yako haijui kitu... Umasikini wa US, sio huu wako wa hapa bongo.. State with the lowest GDP in US, ni sawa na GDP ya TZ mara 23...!! Likewise GDP per capita ndio kabisaa usiguse, for lowest state economy ni around $ 26,000 per year, while US GDP per capital nation wide is $ 62,196.7 per year.. Sasa Tanzania GDP per capita is around $ 936.2 per year..!! Umasikini wa US, acha sio huu wako wa bongo, hujui kabisa nn ume copy na ku paste tu...!!

Umeenielewa lakini ww usie na akili hata kidogo..!! Ndio maana nimesema huna akili kabisa..!!
 
Back
Top Bottom