Leo Oktoba 14, 2025 ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Alizaliwa Aprili 13, 1922 na alifariki dunia Oktoba 14, 1999. Alisoma katika Chuo cha Makerere mjini...
Oktoba 12, 2025 Wananchi wa Cameroon walishiriki zoezi la kupiga kura kumchagua Rais atakayeshika Madaraka kwa Muda wa Miaka saba kama ilivyo katiba ya nchi hiyo
Uchaguzi huu umekuwa na vuguvugu...
Oktoba 12, 2025 Ikulu ya Madagascar ilitoa taarifa kuwa “jaribio haramu la kutumia nguvu kuchukua madaraka” linaendelea nchini humo, siku moja baada ya baadhi ya wanajeshi kujiunga na vuguvugu la...
Rais Andry Rajoelina anayekabiliwa na upinzani mkali nchini Madagascar ametangaza kulivunja Bunge la Taifa mara moja
Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya upinzani kutangaza kuwa utaanzisha...
Kwa wale GEN Z ambao hawajawahi kupata historia vizuri ni kwamba Rais wa Madagascar wa sasa alianza Urais wake kwa njia ya maandamano kwa kumtoa Richard Ravalomanana yaani kwa ufupi Andry...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametua nchini Israel kupitia uwanja wa ndege wa Ben Gurion, ambapo amepokewa na Rais wa Israel, Isaac Herzog, pamoja na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu.
Trump...
BREAKING NEWS:
Jeshi la Madagascar limetangaza mapinduzi na limesimamisha katiba na kumwondoa madarakani Rais Andry Rajoelina kufuatia maandamano yaliyokuwa yakiendelea.
Kitengo maalumu cha...
Raia wa Cameroon walipiga kura Jumapili, Oktoba 12, 2025, katika uchaguzi unaotarajiwa kumrejesha madarakani Rais Paul Biya, mwenye miaka 92, ambaye ameiongoza nchi hiyo kwa zaidi ya miongo minne...
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Cameroon kufuatia uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025, ambapo Rais aliyepo madarakani, Paul Biya, anatafuta kuendelea kushikilia madaraka baada...
Jean Bertrand M mwanaharakati anayejitokeza wazi nchini Cameroon, ametuma ujumbe mkali kwa Waziri wa Utawala wa Ndani, Paul Atanga Nji, akitangaza kwa ujasiri kuwa Rais Paul Biya “ameanguka” na...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema “vita imekwisha” wakati akisafiri kuelekea Israel kwa ajili ya kuachiwa kwa mateka kutoka Gaza chini ya makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na...
Nchini Albania katika Mji wa Trianna Jaji Astrit Kalaja ameuawa kwa risasi baada ya mtuhumiwa katika kesi aliyokuwa akiendesha kufyatua risasi wakati kesi ikiendelea katika 'Mahakama ya Rufaa...
Rais wa 47 wa Taifa la Marekani, Donald John Trump (79) ameeleza mashaka yake ya kuingia mbinguni ambapo amesema hana hakika kama kuna kitu kinachoweza kumfanya aingie mbinguni ila ana uhakika...
Vatican makao makuu ya kanisa katoliki duniani yapokea hija takatifu ya kwanza rasmi ya watu wanaoingiliana kinyume na maumbile.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Kanisa Katoliki, hija ya...
Waandamanaji waliendelea kujitokeza mitaani nchini Madagascar Oktoba 7, 2025, siku moja baada ya Rais Andry Rajoelina kumteua waziri mkuu mpya Jenerali wa Jeshi, katika juhudi za kupunguza mzozo...
Wanajeshi nchini Madagascar wamejiunga na raia katika maandamano makubwa kupinga utawala uliopo, hatua ambayo imeibua taharuki kubwa kutokana na nadra ya jeshi kushiriki moja kwa moja kwenye...
Brazil imekataa kuidhinisha uteuzi wa Gali Dagan, aliyewahi kuwa balozi wa Israel nchini Colombia, kuwa balozi mpya wa Israel nchini Brazil, na kuacha nafasi hiyo ikiwa wazi, vyombo vya habari vya...
Mara ya mwisho Trump kuandika gazeti refu kama hili lini ?maana kalalamika sana humu😀 mpaka namuonea huruma
Ubaya mwenzake Xi hayupo kwenye mitandao ya kijamii hivyo ni ngumu kujua hata anajali...
Kiongozi wa Upinzani nchini Seychelles (Ushelisheli), Patrick Herminie ameshinda kiti cha Urais kwa kupata 52.7% ya Kura zilizopigwa dhidi ya 47.3% za Rais Wavel Ramkalawan ikiwa ni baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.