International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ofisi ya Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, imesema kuwa kuna jaribio la kuchukua madaraka kwa njia isiyo halali na kwa kutumia nguvu nchini humo. Masaa machache baadaye, kikosi cha jeshi...
1 Reactions
2 Replies
342 Views
Onyo la picha! Mara tu baada ya kutangazwa kusitishwa kwa mapigano huko Gaza, Hamas walichukua wanaume 8 ambao waliwashuku kushirikiana na Israel bila kuwa pele ka Mashaka ani wakawafunga...
0 Reactions
10 Replies
450 Views
Wanaukumbi. Preparations underway for exchange of Israeli captives, Palestinian abductees under Gaza ceasefire.. === Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya kubadilishana mateka wa Israel, watekwa...
2 Reactions
53 Replies
1K Views
Wakuu kuweni makini na mienendo yenu huko mitandaoni hasa kama unatumia ID inayokufanya ujulikane kwa urahisi. Mambo yamekuwa si mambo huko X baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani kutangaza...
3 Reactions
7 Replies
408 Views
  • Featured
Rais Andry Rajoelina amekimbia Madagascar ili kulinda maisha yake kufuatia maandamano ya kitaifa ambayo yalianza mwishoni mwa Septemba. Rajoelina alithibitisha kupitia hotuba ya moja kwa moja...
2 Reactions
8 Replies
821 Views
Baada kichapo kikali kwa magaidi wa Hezboullah Rais wa Lebanon, Joseph Aoun, alisema: 'Lazima tujadiliane na Israel, Beirut haiwezi kwenda kinyume na mwelekeo wa sasa ambapo Mashariki ya Kati...
0 Reactions
1 Replies
257 Views
Baada ya magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza na kuwaachia mateka wote walio hai kinachofuatia sasa ni kusalimisha silaha zao kwa Amani wakikataa tutawapokonya kwa nguvu-Donald Trump...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Former DRC President Joseph Kabila, who was sentenced to death for war crimes, spotted in Nairobi for a meeting with DRC opposition leaders Soma Rais Mstaafu wa Congo, Joseph Kabila ahukumiwa...
3 Reactions
5 Replies
493 Views
Hardtimes create tough men Machafuko na vurugu za kisiasa, ukosefu wa elimu sahihi ya dini,elimu ya kiraia na mateso ya kijamii(uongozi) vilizalisha kizazi cha vijana wenye hasira waliokua...
3 Reactions
10 Replies
493 Views
Magaidi wenye damu za watu mikononi mwao wakiandaliwa kuachiwq huru kutoka magereza ya Israel walikokuwa wamefungwa kwa mauaji ya watu wasio na hatia. Waangalie walivyo na afya nzuri kinyume na...
1 Reactions
1 Replies
240 Views
Wananchi wa Palestina, unaweza kusema, ni watu wenye bahati mbaya sana, na kwamba kwao kitu amani, ni jambo litaendelea kuwa gumu kwao. Wapalestina maelfu wasiokuwa na hatia wameuawa, kutiwa...
2 Reactions
4 Replies
358 Views
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, ameondolewa madarakani kupitia kura ya bunge iliyopitishwa kwa kishindo. Katika kura hizo, wabunge 130 waliunga mkono hoja ya kumng’atua, huku kura moja ikiwa...
1 Reactions
2 Replies
225 Views
Cape Town, South Africa Mheshimiwa Balozi Nathi Mthethwa alipatikana amefariki nje ya Hoteli ya Paris mnamo Jumanne, 30 Septemba. (Picha: Picha za Gallo / Foto24 / Craig Nieuwenhuizen) Wenzake...
4 Reactions
13 Replies
595 Views
Shirika la Habari la BBC imeripoti kuwa Mateka saba wa kwanza wa Israel walioshikiliwa na Kundi la Hamas huko Gaza wameachiliwa leo na wako chini ya uangalizi wa Shirika la Msalaba Mwekundu...
1 Reactions
1 Replies
239 Views
Kwa aliyefuatilia mkutano juu ya amani ya Gaza na Mashariki ya kati huko Sharm el Sheikh Misri, zaidi ya mwarabu mwenzao dikteta wa misri, hakuna muafrika hata mmoja aliyekaribishwa wala...
12 Reactions
39 Replies
1K Views
Yasser Abu Shabab, kiongozi wa mmoja wa wanamgambo 3 wakuu wa waasi wanaopinga Hamas huko Gaza, na mwakilishi wake anayehusika na vikosi vya wanamgambo wanatangaza "biashara kama kawaida"...
1 Reactions
5 Replies
340 Views
Serikali ya Mali imetangaza kuwa raia wa Marekani watakaotembelea nchi hiyo ya Afrika Magharibi kwa shughuli za biashara au utalii watalazimika kuweka bondi ya hadi dola 10,000 (sawa na takribani...
5 Reactions
9 Replies
452 Views
Leo Oktoba 14, 2025 ni kumbukumbu ya miaka 26 tangu kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Alizaliwa Aprili 13, 1922 na alifariki dunia Oktoba 14, 1999. Alisoma katika Chuo cha Makerere mjini...
1 Reactions
3 Replies
513 Views
Oktoba 12, 2025 Wananchi wa Cameroon walishiriki zoezi la kupiga kura kumchagua Rais atakayeshika Madaraka kwa Muda wa Miaka saba kama ilivyo katiba ya nchi hiyo Uchaguzi huu umekuwa na vuguvugu...
2 Reactions
1 Replies
202 Views
Back
Top Bottom