Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
Mambo ni Moto.
Venezuela hayupo in good term na majirani zake ..Nae pia yupo katika kibano cha US sasa anaanze kwa mfano kuingia Brazil kupeleka mafutadont worry,venezuela will sortout that problem Asap
Venezuela mwenyewe yupo kwenye sanctions. Pia unadhani ile operation Car Wash ya corruption nchini Brazil ilikuwa na lengo gani,lengo ni kuwaondoa wale leftist wakina Lula na Dilma maana wangekuwepo wao Serikali ya Brazil na hiyo Petrobas wangeisaidia Iran.dont worry,venezuela will sortout that problem Asap
Wewe Muirani wa kwa Mtogole uliepo maelfu ya kilometa kutoka Brazil ndio unaona hivyo lakini Captain wa Meli halioni hilo.meli si kwamba zimeishiwa mafuta kiasi haziwezi kumove toka hapo bandarini brazili,bali zinataka mafuta ya kutosha kurudi iran,alternative zitasogea venezuela kujaza mafuta ama tanker kutoka venezuela itazijazia high sea
Mkikuyu wa hapo mathare katika ubora wakoWewe Muirani wa kwa Mtogole uliepo maelfu ya kilometa kutoka Brazil ndio unaona hivyo lakini Captain wa Meli halioni hilo.
Kama kawaida yako unakimbilia personal attack badala ya kupangua hoja. Hizo meli zimekaa Brazil two months now wewe unasema eti sio kwamba hazina mafuta ya kutoka hapo,are you insane?@Frankwanjiru,kila siku nakuambiaga huwa unanishangaza mkenya gani ana IQ ndogo hivyo,naweza kuwa mtogole lakini nikatract movements za meli au ndege popote duniani,au huko taveta hii teknology haipo?