Pakistan: Askari wanne na raia wanne wauawa katika mashambulio mawili ya mabomu

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,491
2,000
Watu nane wakiwemo askari polisi wanne wamefariki asubuhi ya leo katika mashambulio mawili mjini Dera Ismail Khan

Shambulio la kwanza limetokea katika kituo cha polisi ambapo askari wawili waliuawa na washambuliaji kufanikiwa kutoroka

Wakati miili ya askari hao ikipelekwa hospitali, mlipuko ulitokea kwenye lango la kuingilia na kuua watu 6. Imethibitika kuwa lilikuwa shambulio la kujitoa mhanga lililofanywa na mwanamke aliyevalia “niqab”

Wengine 15 walijeruhiwa katika mlipuko wa pili wakiwemo wafanyakazi wa hospitali hiyo ya DHQ, raia na askari na eneo hilo limefungwa ili kupisha uchunguzi

========

At least eight people have been killed in two attacks in Dera Ismail Khan Sunday morning.

The first attack occurred at a police check post near Kotla Seedan. Two cops were killed in firing. The attackers managed to flee, according to the police.

When the policemen’s bodies were being taken to the DHQ Hospital, a blast occurred at the hospital’s gate. The police say it was a suicide bombing and the Bomb Disposal Squad has confirmed that the bomber was a woman in a niqab.

Six people were killed in the blast and at least 15 people were injured. These include hospital security staff, three civilians and policemen. The injured were taken to CMH DI Khan.

The policemen have been identified as Hidayat, Aslam, Khalil and Kashif.

The police and Frontier Constabulary have sealed the area.

Chanzo: Samaa Tv
 

Mayala B

JF-Expert Member
May 13, 2019
1,453
2,000
Kwakuwa muuaji na waliouliwa wote ni waislam basi hakuna shida kabisa maana wote ni watu wa dini ya khaki.
 

Proved

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,161
2,000
Suicide bombings! Ugaidi unaofunganishwa na itikadi kali za kidini.
 

Master minding

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
5,815
2,000
... yaache yauwane yenyewe; who cares!
Una matatizo wewe

Polisi yeyote katika nchi yeyote hata Tanzania kuuawa kama mtu ana akili hawezi furahia jambo hili

Tafakari duniani Polisi wasingekuwepo kabisa ungekuwa katika hali gani?

Wasingekuwepo Polisi ungekuwa unatafuta riziki na kuandaa portion kwa ajili ya binadamu wenzio waliokuzidi nguvu au wababe wanaoweza sana kurusha ngumi na ugomvi

Hata mke tu yawezekana ungekuwa unashare na magenge fulani au wababe fulani kama Polisi haexist

In short Police mtu muhimu sana, jamii yetu imejaa sana watu wagomvi n.k sasa kwa sababu Police yupo na Magereza yapo ndio amani ipo tunaishi vizuri, tunasafiri vizuri hivi visingewezekana

Nachotaka kuinsinuate hapa ni kwamba tusishabikie uovu wanaofanyiwa Polisi, Police mtu muhimu kona au pande yeyote hapa duniani hata iwe North Korea
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom