Bill Gates azidi kushushwa kwenye world's rich-list ranking...sasa ashika namba 3!

Bill Gates angetaka kusitisha msaada anaotoa kwa nchi masikini sidhani kama kuna anaeweza kumfikia kwa utajiri. Mpaka sasa ameshatoa "three quoter" ya utajiri wake kusaidia masikini duniani. Fuatilia mfuko wa global fund utajua nini Bill gates anafanya duniani kwa watu masikini ukiwemo wewe hapo.
 
Misaada mingi ya wahisani inaishia kwa wakulu, wananchi hawawezi kuiona especially Africa
Bill Gates angetaka kusitisha msaada anaotoa kwa nchi masikini sidhani kama kuna anaeweza kumfikia kwa utajiri. Mpaka sasa ameshatoa "three quoter" ya utajiri wake kusaidia masikini duniani. Fuatilia mfuko wa global fund utajua nini Bill gates anafanya duniani kwa watu masikini ukiwemo wewe hapo.
 
Watu hawataki mchezo wameamua kutajirika tu ilihali sisi huku tupo busy na video za kuzodoana, matamko ya mipasho, kutekana na jalala kukiri kuua halafu kukataa hapo hapo!

Soma mwenyewe...

Yaani huyu Jeff Bezos pamoja na kugawana utajiri wake na mtalaka wake bado anashika namba moja?

Namuona Dangote namba 76.....si haba tho....
 
Bill Gates angetaka kusitisha msaada anaotoa kwa nchi masikini sidhani kama kuna anaeweza kumfikia kwa utajiri. Mpaka sasa ameshatoa "three quoter" ya utajiri wake kusaidia masikini duniani. Fuatilia mfuko wa global fund utajua nini Bill gates anafanya duniani kwa watu masikini ukiwemo wewe hapo.
MORE THAN 39 BILLION USD AMEJITOLEA FOR PHILANTHROPIST PROJECTS WORLDWIDE WAKATI ALIYE MPITA KUWA NAMBA MBILI MWENYEKITI WA LV AMEINGIZA MORE THAN 56 BILLION USD JUST A YEAR, SO LAZIMA KUDROP KWA GATES KUWE OBVIOUS.
 
Back
Top Bottom