AOC zawadi ambayo inatoa baraka kwa republican, anavyozidi kubugi Trump anazidi kupata wafuasi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
1*ZgrruoTRTBA_y2gV6j8Gbg.png


Yupo very emotional, Logic sifuri, Hana ajenda zenye facts.

Congress woman asie jua sheria wala civics, anadiriki kutetea maharamia na hata kutojua branches of government,


Anafanya Chama cha democrats kitoke nje ya reli kwa idea zake za socialism.

Alikataa Amazon waweke ofisi zao New York jimboni Kwake, Guess what?? Amazon hawakubembeleza na ajira nyingi sana zikaootea, watu wa new york walimkosoa sana kwa hili.

Ni kichaa alievimba bichwa na mbaya zaidi ndio kioo cha democrats kwa ushawishi wake, Upungufu wake wa akili ndio utaofanya Trump ashinde kwa kishindo 2020 na hata jimbo lake la New York kwenda kwa Republicans.

Anakifanya chama cha Democrats kipoteze wapiga kura kila muda anapofungua bakuli lake.

Easy to Manipulate, Trump anacheza nae kiakili kama atakavyo, AOC kaunda kikundi chake cha “THE SQUAD” wapo wanne akiwamo na yule mwenzake Ilhan Omar,
 
Democrats wanafanya technical mistake kuwaacha hawa wanawake wa 4(The squard),ndo wawe main speaker wa chama.Kinaonekana kama chama cha kihuni.
 
Back
Top Bottom