Rais wa Taifa la Tunisia afariki dunia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
download.jpeg


Taarifa kutoka nchini humo zinaeleza kuwa Rais Beji Caid Essebsi amefariki dunia katika Hospitali ya Jeshi akiwa na umri wa miaka 92

Hata hivyo mpaka sasa haijawekwa wazi Rais Essebsi alikuwa amelazwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa gani ingawa alikimbizwa Hospitali siku ya jana

Waziri Mkuu, Youssef Chahed ataliongoza Taifa hilo katika kipindi cha mpito usiozidi siku 60 kabla ya kuitisha uchaguzi mwingine

Essebsi alikuwa miongoni mwa Marais wenye umri mkubwa kushikilia nafasi hiyo duniani

=======

Tunisia's first freely elected President, Beji Caid Essebsi, has died aged 92, the country's presidency says.

He was the world's oldest sitting president. He was admitted to hospital on Wednesday but officials did not say why he was receiving treatment.

Mr Essebsi won Tunisia's first free elections in 2014 following Arab uprisings across the region.

He was admitted to hospital last month after suffering what officials said was a severe health crisis.

They gave no further details at the time. But Prime Minister Youssef Chahed, who visited him in hospital, urged people to stop spreading "fake news" about his condition.

Read more about Tunisia here
According to the country's constitution, Mr Chahed can take over as president for no more than 60 days or until a replacement is elected.

Earlier this year, Mr Essebsi announced that he would not stand in elections expected in November .

He told a meeting of his ruling Nidaa Tounes party that someone younger should take charge. He said it was time to "open the door to the youth".

Mr Essebsi was a former lawyer who studied and trained in the French capital Paris. During his long political career he also served as interior minister and Speaker of parliament.

BBC News
 
Kwa ninavyowajua waislam hawatumii msiba kutafutia kiki jua alizami kazikwa hakuna cha sanduku la dharama linaloendana na hadhi yake,miwani nyeusi msibani nguo za misiba mala sare,gari la kuzungusha mwili mjini,upuuzi wote huu haupo kwao,
Haifiki magharibi
 
Kwa ninavyowajua waislam hawatumii msiba kutafutia kiki jua alizami kazikwa hakuna cha sanduku la dharama linaloendana na hadhi yake,miwani nyeusi msibani nguo za misiba mala sare,gari la kuzungusha mwili mjini,upuuzi wote huu haupo kwao,
Hii ilitokana na utaratibu wa Middle East to hapo, kutokana na hali ya joto miili huaribika mapema ndiyo sababu ya kuzika siku hiyo hiyo, baadae ndio yakawa mapokeo ya dini.
 
Hii ilitokana na utaratibu wa Middle East to hapo, kutokana na hali ya joto miili huaribika mapema ndiyo sababu ya kuzika siku hiyo hiyo, baadae ndio yakawa mapokeo ya dini.
mmhh!!! kwa hiyo waislamu wanaiga vitu wasivyovijua
 
Back
Top Bottom