Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
Hii Dunia ina maajabu sana,jamaa aliamka akiwa usingizini akasepa, hallucinations si mchezo.duuuh
Ngoja Wataalamu wa afya ya ubongo wajeHallucination inasababishwa na nini?
Mostly matatizo au magonjwa ya akili. Mara nyingine pia kutokana na matumizi ya madawa na pombe haramu.Hallucination inasababishwa na nini?