International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Ndoto za Donald Trump aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Rais wa 45 wa Marekani huenda zikayeyuka baada ya wajumbe sita wa Democratic watakaopiga kura za majimbo kuanzisha kampeni maalumu ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna mashaka mapya kuwa Katika Majimbo kadhaa mfumo wa kuhesabu kura uliingiliwa. Na pia Hilary Clinton Kila kukicha wakiendelea kuhesabu kura za makaratasi na zile zilizopigwa na wasiokuwepo...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Hebu oneni huu upuuzi wa Black Friday... Kwa wasiojua, Black Friday ni ile Ijumaa baada ya sikukuu ya Thanksgiving ambapo maduka mengi sana huwa na mapunguzo makubwa ya bei ya bidhaa mbalimbali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakili mwenye umri wa miaka 23 amepewa jukumu la kuongoza shirika la Ukraine linaloshugulikia maswala ya ulaji wa rushwa. Huu ni uteuzi wa pili mkubwa kwa wanamke kuteuliwa kwa wiki za hivi...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
In Zimbabwe, where worthless $100 trillion notes serve as reminders of the perils of hyperinflation, President Robert Mugabe is printing a new currency that jeopardises not just the economy but...
0 Reactions
0 Replies
721 Views
At least 36 people were killed and 95 injured when two Iranian passenger trains collided near the city of Shahroud, about 400 km (250 miles) east of Tehran, state television reported. It said the...
0 Reactions
2 Replies
931 Views
Marubani katika meli ya jeshi ya kirusi inayoitwa Admiral Kuznetsov wakifanya mazoezi ya kupaa na kutua katika uwanja wa meli hiyo karibu na mwambao wa uingereza wakati ikiwa katika safari ya...
14 Reactions
137 Replies
16K Views
Ni ajabu ba kweli mwana JF. Nchini Libya kima mmoja wa kufugwa alimshambulia binti mdogo. Familia ya binti huyo ikaamua kulipiza kisasi kwa familia iiyofuga huyo kima. Waliua watoto 3 pamoja na...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Vyombo vya usalama vya Iraq vimesema kwamba zaidi ya watu themanini wameuawa kwa shambulizi la bomu lililowalenga madhehebu ya kiislamu ya kishia kusini mwa mji wa Baghdad. Gari lililokuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikki Haley alikuwa mkosoaji mkubwa wa Donald Trump wakati wa kampeni yake. Rais mteule wa Marekani Donald Trump amemchagua gavana wa Carolina kusini, Nikki Haley, kuwa balozi mpya wa Marekani...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Mfumo wa kibepari ni kushangaza sana.Marekani kuna jela za kufungia wahalifu ambazo ni mali za watu binafsi ila zinaingia mkataba na Jimbo husika kua litapokea watuhumiwa wanao hukumiwa vifungo...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Haya ndiyo maneno ya Ben Carson, ambaye kwa kifupi amesema amekubali kujiunga na Utawala wa D.Trump kuirudisha USA mikononi mwa Mungu kutoka kwa Wapinga Kristo Obama, Clintons &Co. ! ,,Winning...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
MAREKANI: Jopo la Wataalamu wa TEHAMA baada ya uchunguzi ladai Hillary Clinton aliibiwa kura na Wadukuzi ktk Majimbo matatu muhimu. Wataaamu hao wamedai kuwa Wadukuzi hao waliiba kura katika...
2 Reactions
32 Replies
15K Views
Kama ilivyo kila wakati Rais mpya anapoingia madarakani huko Marekani hupewa masharti ya kiusalama ambayo ni LAZIMA ayazingatie. Rais mteule Donald Trump amekatazwa na wataalamu wa kiusalama wa...
3 Reactions
53 Replies
6K Views
Sudani Kusini ndani ya Sudani ilikuwa na hadhi, raha na amani kuliko ilivyo sasa nje ya Sudani. Kutokana na mafuta yao Sudani Kusini ilidanganywa na wanyang'anyi ili wajitenge na Sudani ili waweze...
1 Reactions
4 Replies
761 Views
Check out @realDonaldTrump's Tweet: Jamaa anadai kutawala miaka 8 wakati akijua baada ya miaka 4 kuna uchaguzi . Hivi uwa ni kupitiwa au nini? Kama ni makusudi maana yake nini hapo kwanini...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Visa vya watu wa bondeni (South Africa) haviishi, na wengi wanajiuliza hivi hawa watu wanatatizo gani la kisaikolojia? Tumesikia wakiua watu na hata kuwachoma moto wakiwa hai kwa sababu tu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
An Ethiopian High Court has charged 38 inmates for a prison inferno that led to the death of some over 20 prisoners at the Kilinto prisons located on the outskirts of the capital, Addis Ababa...
0 Reactions
1 Replies
424 Views
Mahakama moja nchini Malawi imempatia hukumu ya miaka miwili jela mtu mwenye virusi vya HIV ambaye alikiri kufanya tendo la ngono na zaidi ya wanawake 100 na wasichana bila kutangaza hali yake...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mchungaji wa Kanisa la Zion amezua mjadala kufuatia mtindo wake wa kuwapulizia dawa ya mbu kama njia ya kuwapatia uponyaji. Picha za mchungaji huyo akiwaponya waumini wake kwa kuwapulizia dawa ya...
0 Reactions
56 Replies
7K Views
Back
Top Bottom