International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau akutwa na hatia Ikiwa inasalia miezi miwili tu hadi uchaguzi wa bunge nchini Canada. Kamati ya bunge la nchi hiyo inayoshughulikia maadili imemkuta na hatia...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu mmoja amekamatwa alipojaribu kuwachoma kisu wapita njia Polisi nchini Australia inasema bibi mmoja amechomwa kisu na mtu aliyejaribu kuwachoma wapita njia wengi zaidi katika eneo la kati la...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sio rahisi kumuona emperor of Japan Trump alikutana nae ,huko UK maandalizi ya Mr Trump hiyo schedule ukioona sio ya kawaida.Kweli Trump ni jeshi la mtu mmoja
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Polisi nchini Zambia wamewakamata na kuwashikilia watu 30 waliokuwa wakiandamana katika mitaa ya Mji wa Chamboli Wananachi wenye hasira kali walianza kufanya ghasia baada ya Askari wa Polisi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
China Dump Nuclear Waste In Sudan Desert This is absolutely Tragic. It looks like China may "allegedly" dumped Nuclear Waste in the Sudan Desert. And the sad thing is more and more stories are...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Korea Kaskazini Yaonya Dhidi ya Kupelekwa kwa Makombora Mapya Nchini Korea Kusini Korea Kaskazini imesema leo kuwa jaribio lolote la Marekani la kupeleka mifumo ya makombora ya masafa ya kati...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali ya Marekani inaunga mkono fikra ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano. Mshauri wa masuala ya usalama wa rais Donald Trump wa Marekani amesema alipokuwa ziarani...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Article 370 ya Katiba ya India iliipa Jammu and Kashmir hadhi fulani ya kujitawala (autonomy) kama ilivyo Zanzibar kwa Tanzania. Ili kumaliza chokochoko za kila mara huko Kashmir, imetoka...
3 Reactions
75 Replies
10K Views
Mazyar Ebrahimi: Iran ilinitesa na kunilazimisha kukiri kuwa Jasusi wa Israel Mazyar Ebrahimi anasema aliteswa kwa siku 40 mfululizo usiku na mchana. Aliyekuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama ya Moscow yafuta Uamuzi wa Kamisheni ya Uchaguzi Sergei Mitrokhin Mahakama moja katika mji mkuu wa Urusi, Moscow imefuta uamuzi wa kamisheni ya uchaguzi wa kumzuia mgombea wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati huo huo Chama cha ANC chenye viti vingi bungeni kimeamua kumfukuza Meya wa mji wa Durban, Zandile Gumede. Hivi sasa yuko chini ya uchunguzi wa utakatishaji fedha na rushwa katika kesi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mamia ya magari ya kivita yakiwa yamebeba mamia ya Askari wa kutuliza ghasia toka China Bara yameshudiwa yakielekea kisiwa cha Hong Kong ikitabiriwa yanaenda kuzima maandamo yaliyo sababishwa na...
7 Reactions
47 Replies
5K Views
Marekani inaihimiza Uingereza ijitoe katika Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano John Bolton. Serikali ya Marekani inaunga mkono fikra ya Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya bila ya...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Askari na Raia wapambana katika uwanja wa ndege wa Hong Kong. Wananchi wa jimbo hilo wameendeleana maandamano ya kutaka utawala wa kidemokrasia Raia wa Hong Kong wamekuwa wakiandamana katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali ya Rais Trump yatangaza kuzishikilia mali za Venezuela pamoja na kusitisha kufanya biashara na nchi hiyo ya kusini mwa bara la Amerika Kusini Huu ni muendelezo wa vikwazo dhidi ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mgombea wa uchaguzi kutoka chama cha mrengo wa kulia cha Vamos nchini Guatemala, Alejandro Giammattei ameshinda uchaguzi wa urais uliofanyika jana Jumapili hii, Agosti 11. Uchaguzi huo ambao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Media playback is unsupported on your device In March 2018, President Putin called the Burevestnik missile "invincible" Five Russian nuclear engineers who died in a rocket engine explosion have...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
An aircraft built by South African teenagers has successfully landed in Egypt six weeks after it set off from Cape Town. The four-seater Sling 4 plane was assembled by a group of 20 students from...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Listen to Comred Paul Kagame epic takedown of hypocrisy of the BBC and Western Donors. We need more leaders who stand for our values not the booty leakers and Ars* kissers.
4 Reactions
5 Replies
951 Views
Hii nchi-kisiwa iliyoko West Indies. Nimevutika kutafuta taarifa ya Kisiwa hiki baada ya kuona taarifa kuwa Raisi Kenyata wa Kenya yupo kisiwani huko kusaka Wawekezaji na ushirikiano wa kiuchumi...
4 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom