Polisi nchini Ethiopia wamewakamata watu 39 kutoka katika chama cha Impala cha nchini humo kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya maafisa watano wa jeshi katika jaribio lililoshindwa la serikali...
Wananchi hao wanaandamana wakipinga ugumu wa maisha na kupanda kwa gharama za maisha huku wakiwatuhumu viongozi wa Serikali kwa ufisadi
Askari waliona viboko pamoja na silaha za moto waliwazuia...
Moving letter from a Kenyan woman in prison in Hong Kong, describing how she was raped by a Nigerian in Addis Ababa .... and then the Nigerian forced drugs into her body - here...
Wizara ya sheria ya marekani imetoa waranti jana Ijumaa (16.08.2019) ya kukamatwa kwa meli ya mafuta ya Iran Grace 1, siku moja baada ya jaji wa Gibraltar kuruhusu kuachiliwa kwa meli...
Maduka yanayomilikiwa na wageni nchini humo hasa katika eneo la Soweto yamevamiwa wa wazawa wa taifa hilo
Raia wa Afrika Kusini wameyavamia maduka hayo na kufanya uporaji wa bidhaa mbali mbali...
China Russia will receive at least six batteries of long-range anti-aircraft systems S-400 under a contract that Rosoboronexport Russian group and the Chinese Ministry of Defense have signed in...
Kampuni ya kichina, Huawei inatuhumiwa kusaidia na kushirikiana na serikali za Zambia na Uganda na serikali nyingine za Kiafrika katika kufukua taarifa za wapinzani wa serikali.
===
Huawei...
Jarida la Financial Times (FT) linaripoti kuwa baada ya uchunguzi wa muda mrefu limegundua kuwa nchi ya Rwanda imekuwa ikichakachua takwimu zake za umasikini nchini humo, ikumbukwe kuwa France24...
Draft legislation detailing the terms of the bans is still being finalised.
But Feven TeshAddis Ababa (AFP) - Officials in Ethiopia's capital are weighing
bans on sex work and street begging, the...
Zaidi ya watu 1,000 walialikwa, amesema mtu mmoja aliyeshuhudia, wakati hofu ikitanda kuwa inaweza kuwa shambulio baya kabisa kuwahi kutokea mjini Kabul mwaka huu.
Msemaji wa...
Dunia ina mambo siyo kidogo. Wakati ambao unahisi upo kwenye nyakati ngumu kuna wenzako mikiki wanayopitia ni mara mia ya hiyo ya kwako!!
Kwanza siku hizi, kizazi cha millenials, tuna raha. Vita...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeweka vikwazo dhidi ya Salah Gosh, mkuu wa idara ya ujasusi wakati wa utawala wa Omar Hassa al-Bashir kwa "kuhusika katika ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu...
Israel has decided to block two US Democratic lawmakers from visiting after US President Donald Trump urged the country to ban them.
Mr Trump said "it would show great weakness" if Israel allowed...
Raia 9 wa China na 9 kutoka Ukraine wametekwa baada ya meli walizokuwa wakisafiria kushambuliwa na kutekwa katika Ghuba ya Guinea
Shambulio hili limetekelezwa siku ya Alhamis ingawa idadi ya...
Princess Anne binti pekee wa Malkia Elizabeth II amefikisha miaka 69 leo. Anne ni pili kuzaliwa baada ya Charles.
Pincess Anne na mume wake
Princess Anne ana watoto wawili kutoka katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.