American Computer scientists say they have strong evidence election was rigged against Clinton

American Computer scientists say they have strong evidence election was rigged against Clinton

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
4058.jpg

MAREKANI: Jopo la Wataalamu wa TEHAMA baada ya uchunguzi ladai Hillary Clinton aliibiwa kura na Wadukuzi ktk Majimbo matatu muhimu.

Wataaamu hao wamedai kuwa Wadukuzi hao waliiba kura katika Majimbo ya Michigan, Wisconsin na Pennsylvanian ambayo yanaidadi kubwa za kura.

Aidha jopo hilo limemshauri Hillary Clinton na Kambi yake waombe kura zihesabiwe upya katika majimbo hayo.

==========
Was Hillary robbed of election by HACKERS? Experts urge Clinton to demand recount after gathering evidence that 'shows voting anomalies in key states of Michigan, Pennsylvania AND Wisconsin'

Hillary Clinton could have been robbed of the presidency by hackers, a group of experts claims - and now they're calling for her to demand a recount.

The team, which includes voting rights experts and computer security buffs, says it has compelling evidence that Wisconsin, Michigan, and Pennsylvania could have been hacked to artificially lower turnout.

They're now pressuring the Clinton group to call for an independent recount that could swing the needle of the election in the Democrats' favor, New York magazine reported.

The states offer two kinds of voting: One in which paper votes are counted by an optical scanning machine (and checked in random samples by humans) and one in which the vote is inputted directly into a computer.

The group says that Clinton received 7 per cent fewer votes in those counties of Wisconsin in which votes were counted electronically, compared to those with paper ballots and optical scanners.

That suggests Clinton's counts may have been artificially lowered from within the counting machines by hackers, while the paper counts - not being susceptible to hacking - remained unaffected, they say.

According to their calculations, such a hack could have cost Clinton 30,000 votes in Wisconsin. She lost that state - and its ten Electoral College votes - by 27,000.

Michigan was too close to call with a gap of 11,000, denying Clinton its 16 Electoral College votes, and she lost Pennsylvania's 20 Electoral College votes by 68,236.

Though there's been no suggestion of possible culprits in the potential hacking, the DNC blamed Russia for mid-election-season hacks of Democrat email accounts.

If an independent investigation could prove hacking - and a recount granted Clinton those three states - then she would be made President after all.

But it's by no means a done deal.

Source: DailyMail
 
Hii itasaidia nini tena na mfumo wa marekani ni wale wajumbe 538? ata Clinton apate kura milion ngapi kwenye wajumbe wa majimbo tayari wamemkubali Trump. sioni mvuto wowote mana haitabadilisha matokeo.
 
Hivi dunia inafanana bila kujali ni ya kwanza wala ya pili au ya tatu. Pia hamns tofauti kabisa kati ya zile zilezo endelea na zile zinazoendelea na hizi zetu ambazo haziendelei yaani zipo zipo tu. Tena hasa katika si.hasa magechaz wapo kila kona, malopes na manapez na malubu.vaz wamo tu kuwezesha kundi la wajanjaz kushika dolaz.
Kama dunia ni sawa kwa logic hiyo basi USA=Zenji=Bongoz=Zimbabwez tu!!!!
 
Duh...kumbe kuna watu bado tu hawajakubali kushindwa kwa huyo bibi?
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Haya mambo ya kuiba kura nimezoea kuyasikia chadema na cuf wakilalamika tu ssa ikiwa nchi kama marekani nayo wameiga kutoka bongo tena wapinzani kuibia kura serikali iliyopo madarakani basi ziara ya obama huku tz hajajifunza kitu kabisa namshauri arudi tena.
 
Hilary hana chake. Wameache tu Trump aongoze
 
kitendo cha alieshindwa kukubali kushindwa kinafanya kinafanya habari za hao experts kutokuwa maana yeyote wala kubadili chochote
 
kitendo cha alieshindwa kukubali kushindwa kinafanya kinafanya habari za hao experts kutokuwa maana yeyote wala kubadili chochote

Hapana kuna muda ya kukata rufaa baada ya Matokeo kutangazwa hivyo ni swala la ,,crooked Hillary" kuwasilisha pingamizi lake ndani ya muda uliowekwa na hawana muda sana, hawa Wapinga kristo Hillary na Obama wake!
 
Clinton alishakubali kushindwa tatizo ni wananchi tena wengi wao hawakupiga kura hata
 
Hapana kuna muda ya kukata rufaa baada ya Matokeo kutangazwa hiyo ni swala la ,,crooked Hillary" kuwasilisha pingamizi lake ndani ya muda uliowekwa nahan muda sana, huyu mpinga kristo Hillary!
clinton hawez fanya hvyo kabisa kwakuwa kwanza itashusha reputation ya america kam kama most democratic nation(kulingana na maoni yao wao) pia huu mgawanyiko uliopo sasa utaongezeka mara kumi na taifa linaweza pengne kuingia kwe machafuko makubwa..nafikiri wenye nchi yao(CIA) Hawawez ruhusu ilo litokee kwakuwa hakuna ulazima wowote hillary kuwa rais...jua kwamba america watatumia uchaguz wa mwaka huu kuendelea kujitapa kuwa wao ndio taifa lenye demokrasia zaid...isitoshe tayari wale ndugu zetu wenye makampun makubwa ya kutengeneza silaha wameshaanza kuvutiwa na bwana mkubwa kwakuwa wasaidiz wake wanasema mkuu kwamza anataka kutengeneza US navy kubwa kuzid ile ya enzi za Ronald Reagan pamoja na kuboost Missile Defense Agency's (MDA) kama moja ya mipango yake ya kumake america great again...kumbuka hawa jama wa haya makampun ya silaha walikua wakimpigia upatu mama kwa kuwa yeye ni warmonger hvyo wangekuwa wanamake money ila kwakuwa sera za trump nazo zmeanza kuwa convince basi wameanza kumuhama mama kimya kimya hvyo clinton hana jinsi zaid ya kuufyta mkia
 
Unafikiri hao watalaamu wa computer waliopendekeza Hillary aweke pingamizi wako wenyewe? Unafikri yeye Hillary na timu yake hawafahamu hilo? Nyuma ya Hillary kuna big interest, ma neo-liberals wote wa Dunia hii wako nyuma ya Hillary Clinton, hivyo kuna ishu kubwa sana inakuja na kuna mengi yanaendelea nyuma ya pazia na moja kati ya melengo yao ni kumshinikiza D.Trump abadili misimamo yake yaani kama kumtisha hasa kwenye mambo ya globalization, NATO, Syria, Urusi na uongo wa global warming ambapo watu wanapiga hela ndefu sana, hivyo watamtisha Trump na kumtingisha mpaka a bend, kumbuka Trump ameshasema akiingia siku ya kwanza anafuta free Trade agreement ya Obama TPP ...
 
Unafikiri hao watalaamu wa computer waliopendekeza e agreement ya Obama TPP ...
kweli lazima wana watu nyuma yao lakin mwsho wa siku mwenye power anakua na upper hand, ingawa sidhan kama trump atakua na mapya sana ambayo atayafanya,hata hio TPP anasema ataifuta jan 20 lakin haitofutwa sanasana watasema waiboreshe tu au waanzishe kingine similar na hicho....trump ataznguruka wee ila mwsho wa siku atarudi palepale kwe Rusophobia na mambo megne ya siku zote na kwa personality yake yule nchi ndo itakuwa more aggressive........foreign policies za marekn ni zilezile tu inabadilikaga jins ya kuztekelza tu.......hvyo still clinton hawez kuchafua hali ya hewa kwa kwenda court kupinga results rais ni trump labda wanachofanya ni kumpressurize trump ili akae kwe mstari ule ambao nchi imekuwapo cku zote
 
DailyMail ni kama ''Ijumaa Wikienda'' flani hivi huko UK na sidhani kama watu watabother na hii kitu.
 
kweli lazima wana watu nyuma yao lakin mwsho wa siku mwenye power anakua na upper hand, ingawa sidhan kama trump atakua na mapya sana ambayo atayafanya,hata hio TPP anasema ataifuta jan 20 lakin haitofutwa sanasana watasema waiboreshe tu au waanzishe kingine similar na hicho....trump ataznguruka wee ila mwsho wa siku atarudi palepale kwe Rusophobia na mambo megne ya siku zote na kwa personality yake yule nchi ndo itakuwa more aggressive........foreign policies za marekn ni zilezile tu inabadilikaga jins ya kuztekelza tu.......hvyo still clinton hawez kuchafua hali ya hewa kwa kwenda court kupinga results rais ni trump labda wanachofanya ni kumpressurize trump ili akae kwe mstari ule ambao nchi imekuwapo cku zote

Siyo kweli Trump ni game changer kwenye World politics na ndiyo maana wanahangaika naye sana tangu mwanzoni kabisa kumbuka hakuna mgombea aliyepigiwa negative campaign kama Trump, hivyo kuna sababu, kama wanajua kwamba hakuna jipya na kila kitakuwa ni muendelezo wa Obama wasinge hangaika hivi wangkubali tu yaishe lkn angalia maandamano nchi nzima mpaka wameanzaisha Kampeni ya Calexit yaani California kujitoa USA kama Trump akiapishwa!!
 
Back
Top Bottom