SOUTH AFRICA: Limpopo pastor sprays Doom on congregants to 'heal them'

SOUTH AFRICA: Limpopo pastor sprays Doom on congregants to 'heal them'

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
Mchungaji wa Kanisa la Zion amezua mjadala kufuatia mtindo wake wa kuwapulizia dawa ya mbu kama njia ya kuwapatia uponyaji.

Picha za mchungaji huyo akiwaponya waumini wake kwa kuwapulizia dawa ya mbu zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii na kuwashtusha watu kwa staili hiyo mpya ya uponyaji.

Mchungaji huyo amesema kuwa dawa hiyo mbu ni bidhaa tu lakini akiiombea huweza kutoa uponyaji.

===============================================
15079090_820324098110724_3741705382664524040_n.jpg

A Limpopo pastor is allegedly spraying congregants with the “healing powers” of pesticide Doom to rid them of their troubles.

Photographs of the Doom-spraying at a service and prayer meeting over the weekend were shared on a Facebook account allegedly belonging to prophet Lethebo Rabalago of Polokwane. The photographs were first posted on a Mount Zion General Assembly (MZGA) account‚ Rabalago’s church.

Rabalago and MZGA could not be reached on Monday morning to confirm the veracity of the accounts.

CxxJ8aXXAAA6aM2.jpg


However, Rabalgo told eNCA that he uses Doom insect killer to heal people with cancer, HIV or any other illness.

In a number of posts‚ MZGA testified of those who had received healing from Rabalago's method of dousing worshippers in Doom.

One photograph from Sunday was captioned: “ Mrs Mitala. The Prophet called sick people to come foward. She went to the forth and told the Prophet that she suffers from ulcer. The Prophet sprayed doom on her and she recived her healing and and deliverance. We give God the glory!”

In another post MZGA said: “By my name‚ you shall drive out demons. By my name‚ you shall pick up snakes. Anything you touch‚ receives favour because of the annointing upon you.

“Doom is just a name‚ but when you speak to it to become a healing product‚ it does. People get healed and delivered through doom. Its not by might nor by power‚ but by the HolySpirit. We give God the glory!!”

The claim of Doom’s healing qualities was posted on Saturday‚ accompanied by seven photographs showing the pastor wielding a Doom can and spraying it in the eyes and on the feet of people.

In August‚ Rabalago reportedly placed a large speaker on top of a congregant to solve her problems. According to the Citizen‚ the speaker was intended to act as God's hand.

Twitter users have taken to the platform to express their shock and poke fun at the pastor's Doom-spraying prayer technique.

Religious leaders using alternative and questionable methods to heal worshippers is no laughing matter‚ however.

The Commission for the Promotion and Protection of Cultural‚ Religious and Linguistic Communities (CRL) this year probed the alleged abuse of people's belief systems by pastors‚ following complaints from various communities.

Some of these complaints include accusations of pastors feeding congregants grass‚ petrol and snakes.

Among the warnings on a can of Doom is that it can cause “irritation of the skin‚ eyes and mucous membranes”‚ and it advises users to “keep out of reach of uninformed persons” and “avoid contact with skin‚ eyes and clothing”.

“In case of contact‚ wash thoroughly with soap and lukewarm water … if misuse results in accidental illness consult a doctor immediately.”


Source: TMG Digital
 
Stupidity nafikiri huyu wakala wa shetani anatumia nguvu za kishetani sana kuwarubuni waumini wake.

Haiwezekani mtu mzima na akili yake akubali kupuliziwa dawa ya mbu machoni kwamba itamponya!!!
 
Hakuna cha kushangaza hapo,kuokoka ni aina ya magonjwa ya akili. Ukiona mtu anasema kaokoka huyo ni kichaa..!!
Hujui unaloliongea ingawa upo sahihi kwa uelewa wako.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Duuuh hii ni hatari sana....

Watu kama hawa wanatakiwa kukamatwa Kwa uragai.....

Wachungaji wamekuwa so stupid hasa nchi za Nigeria,SA,Kenya na sasa Tanzania......

Very very stupid....
mi nafikiri stupid siyo wachungaji, stupid ni waumin ambao wanajipeleka wenyewe kwa wachungaji ili wakatapeliwe
 
Hakuna cha kushangaza hapo,kuokoka ni aina ya magonjwa ya akili. Ukiona mtu anasema kaokoka huyo ni kichaa..!!
Mkuu nakubaliana na ww

Walokole n wagonjwa wanahitaji msaada kwakweli

Ah ah ah ah

Tunaenda mbali sana.,hapa tz wamejaa mpk wanatia huruma

Kaz hawafanyi,kidogo wanachopata kinaishia kwa baba mchungaji


Mm nashangaa binadamu wa kawaida unamuamin vip mtu km ngwajima au mwanamaziombwe Tb joshua
Tuberculosis

Sijui kakobe,mzee wa upako....ndugu zetu wanaumwa wasaidiweee

Naona RC nawao imeogopa kupoteza wagonjwa hawa,ikaanzisha taasisi ndan ya kanisa sijui wanaitwa KALIZEMATIC , ukija na huku nako hata watu wa swala swalaa TANO mtu prof anaendeleza lecture jamaaa anatoka kwenda kwenye swala swalaa tano muslims hao

Ulevi sio pombe tuu

Yaan ukwa addicted na hv vitu vifwatavyo tayar unauchizi
POMBE
DINI
DRUGS
POLITICS
EDUCATION

Hao watu wakisha asilika hakuna mwenye unafuuu,
wanahitajika kwenye matatibu kwa haraka sanaa ili wawe normal
 
wanadamu wengi ni vichaa hapo unapata na maradhi mapya....... unaaminije mwanadamu mwenzio jamani kweli nyakati zimefikia omega
 
Back
Top Bottom