Watu 80 wafariki katika shambulizi la Bomu lililowalenga washiha Iraq


K

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Messages
1,691
Likes
2,210
Points
280
K

kirerenya

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2013
1,691 2,210 280


Vyombo vya usalama vya Iraq vimesema kwamba zaidi ya watu themanini wameuawa kwa shambulizi la bomu lililowalenga madhehebu ya kiislamu ya kishia kusini mwa mji wa Baghdad.

Gari lililokuwa limebeba vilipuzi hivyo lililipuka karibu na kituo cha mafuta ambapo watu wengi wa dhehebu hilo walikuwa wameegesha magari yao.

Wengi wa watu waliofariki ni wananchi wa Iran na Afghanistan.

Walikuwa wakitoka kwenye moja ya tukio muhimu la kidini kwenye mji mtakatifu wa KarbalaAskari wa kundi la kiislam wamekiri kuhusika na shambulizi hilo.

kundi hilo la wapiganaji la kiislam mara kwa mara hulenga madhehebu ya kishia na kuwatuhumu kwamba ni waongo.

Chanzo:BBC Swahili
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
21,527
Likes
16,321
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
21,527 16,321 280
Ndugu wakigombana ............. Ukalime!!!
 
gemmanuel265

gemmanuel265

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2016
Messages
8,396
Likes
17,603
Points
280
gemmanuel265

gemmanuel265

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2016
8,396 17,603 280
Imani zingine hizi majanga tu!!
 
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
9,669
Likes
10,076
Points
280
dudus

dudus

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
9,669 10,076 280
Wataisingizia Israel! Taarifa za awali ule moto uliowashwa na magaidi umezimwa na hakuna hata aliyejeruhiwa (MUNGU Mkubwa). Waarabu wamebaki kulipuana wao kwa wao tu.
 
gemmanuel265

gemmanuel265

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2016
Messages
8,396
Likes
17,603
Points
280
gemmanuel265

gemmanuel265

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2016
8,396 17,603 280
Wataisingizia Israel! Taarifa za awali ule moto uliowashwa na magaidi umezimwa na hakuna hata aliyejeruhiwa (MUNGU Mkubwa). Waarabu wamebaki kulipuana wao kwa wao tu.
Roho mbaya haiwezi kukuacha salama kamwe itakuandama mpaka kaburini ndicho kinachowatafuna hawa Waarabu
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,767