Ukisoma kisa hiki utaona kwamba kuna kitu hakiko sawa kichwani mwa wa-South wengi


Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2010
Messages
6,528
Likes
7,124
Points
280
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2010
6,528 7,124 280
Visa vya watu wa bondeni (South Africa) haviishi, na wengi wanajiuliza hivi hawa watu wanatatizo gani la kisaikolojia?

Tumesikia wakiua watu na hata kuwachoma moto wakiwa hai kwa sababu tu wanatoka nchi nyingine, tumesikia visa vya ajabu vinavyohusu viongozi wao, tumesikia watu kuuwawa kikatili kwa kumwagiwa maji ya moto mwilini, tumesikia wanawake kuiba mtoto toka mwanamke mwenye mimba kwa kumkata na kisu akiwa hai nk! Ukisimuliwa visa vinavyotokea bondeni kweli kweli unaweza ukahisi wengi wa hawa jamaa zetu hawana akili za kibinadamu.

Sasa angalia kisa hiki cha kusikitisha.

Mwanamke mmoja mwenye mtoto wa kike wa miaka mitatu anaamua kwenda baa na mwanaume wake. Anamkabidhi kijana mvulana wa miaka 9 ampeleke binti yake nyumbani kwao ili ampitie baadaye. Kijana huyo akiwa nyumbani kwao na yule binti wa miaka mitatu, anaamua kumvua nguo huyo mtoto na kumbaka. Kwa maumivu huyo mtoto wa kike anazimia.

Mama wa yule mvulana anapokuja ndani na kukuta mtoto msichana amezimia huku akiwa uchi, anajua tu mtoto wake wa miaka tisa amembaka. Anajaribu kumwamsha yule msichana wa miaka 3 kwa kumnyunyuzia maji bila mafanikio. Akihofia mtoto wake mvulana wa miaka 9 kuchukuliwa hatua, anatafuta jiwe kubwa na kumbonda yule binti wa miaka mitatu kichwani na kumuua ili akamtupe nje. Yule binti anapokuwa amekufa anambeba na kutupa nje ya nyumba yao na kumfunika kwa mabati. Baadaye yule mama wa binti wa miaka mitatu anakuja kuulizia mtoto wake, wanamwambia hawajui aliko!

Kesho yake anamtayarisha mvulana wake wa miaka 9 kwenda shule kama vile hakuna kitu kilichotokea, na maiti ya yule mtoto wa miaka 3 ipo imefichwa nyuma ya nyumba yao. Yule mvulana anaporudi toka shule anamsimulia mtu mwingine aliyewatembelea kilichotokea na hatimaye polisi wanamkamata yule mama wa mvulana kwa mauaji.

Yule mama aliyeua msichana wa miaka mitatu anakiri kosa na kufungwa gerezani miaka 11.

Sick people.

‘Why I killed the girl my son raped’ | IOL

Pretoria - So frantic was a Soshanguve mother after discovering that her 9-year-old son had raped her friend’s 3-year-old daughter that she bludgeoned the little rape victim to death with a rock to silence her.

The mother then dumped the body in the backyard of her home next to a banana tree.

The mother, her son and her daughter went to sleep that night with the body outside their bedroom window, while the family of Asanda Mbuku searched for the child throughout the night. Knowing her son had raped the child, the mother sent him to school the next day.

The gruesome discovery of the body was only made after the son returned from school and called his aunt into the house. He then pointed through the window to the backyard towards where the body was covered with corrugated iron sheets.

This horrific tale unfolded on Wednesday in the Gauteng High Court, Pretoria, when the 32-year-old mother pleaded guilty to murder and an attempt to obstruct justice. The mother cannot be identified in order to protect her son, now 11, who is in a place of safety with his younger sister.

The mother was sentenced to an effective 11-year jail sentence for the killing.

Judge Tshifhiwa Maumela said the fact that the woman pleaded guilty, coupled with her having no one to care for her children, warranted a more lenient sentence.

He said the right of children were of paramount importance; and as there was no family to care for the children, it was in their interests not to have to spend too long without their mother.

The woman told the court she was bitterly sorry for what she had done. She also apologised to her friend, the mother of the victim, who was not in court.

She explained that she was in a tavern on June 20, 2014, with a male friend and her 3-year-old.

Asanda went into the tavern with her father, who asked the woman to take care of the child for a while.

The accused eventually left for home with the young children, and after she fed them, she left them in the care of her son in front of the TV while she had a nap.

“Around 8pm I was woken up by my son who said Asanda was not waking up. I went to check and I found her lying on her back at the door. She was half-naked. I realised she was not moving and sprinkled her with water to wake her, but she did not.”

The mother said she realised the child had been raped by her son. She feared that if the child woke up and told people what had happened to her, her son would go to jail.

“I took a rock and I hit her on her head to kill her. I hid her at the back of my garden. I did all this because my son had raped her and I did not want anyone to find out. I burnt her jacket and shoes.

“When her parents came to the house to fetch her, I said I did not know where she was. I am so sorry for what I did. I beg you for mercy,” the woman told the judge.

Judge Maumela said it was a pity that the mother did not realise that her son would not have been arrested. He said that in terms of the law, a child under 10 could not be held criminally responsible for their deeds.

Asanda’s uncle Sello Dikwelane said outside court he was not very happy with the sentence.

“I would have liked to see her sitting in jail for longer. She killed a sweet, innocent child who had her life ahead of her. I am not sure whether I can forgive her, but only God can judge.”

Her aunt Gloria Mbuku said the child’s murder came as a terrible shock.

“The family went through a lot. The police at first suspected her parents and arrested them before her body was found.”

zelda.venter@inl.co.za
 
mbwea

mbwea

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Messages
240
Likes
245
Points
60
mbwea

mbwea

JF-Expert Member
Joined Aug 15, 2012
240 245 60
hofu ya mungu isipokuwepo lolote unaweza fanya kwa kuhofia binadamu.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
63,141
Likes
32,978
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
63,141 32,978 280
Kuliko kwetu wanaowakata Maalbino viungo wakati wa hai mpaka wanakufa kwa uchungu?
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
38,393
Likes
51,007
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
38,393 51,007 280
Kuliko kwetu wanaowakata Maalbino viungo wakati wa hai mpaka wanakufa kwa uchungu?
Na mafunzo ya ugaidi kwenye mapori pia yameshamiri Tanzania.
 
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Messages
11,301
Likes
7,336
Points
280
Zamiluni Zamiluni

Zamiluni Zamiluni

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2014
11,301 7,336 280
Halafu kuna nyumbu humu na nyang'au humu wepesi kukimbilia ati Waarabu makatili!!!
Teh teh teh teh....
binaadamu hulka moja, tabia hubadilika !!
 
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2010
Messages
6,528
Likes
7,124
Points
280
Synthesizer

Synthesizer

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2010
6,528 7,124 280
Kuliko kwetu wanaowakata Maalbino viungo wakati wa hai mpaka wanakufa kwa uchungu?
Sikatai, vyote ni vitendo vya kikatili sana. Lakini mojawapo kinaendana na ushirikina na tamaa ya fedha kutoka kundi fulani la watu ambao tayari limepoteza uanadamu. Lakini hili la mama wa kawaida wa nyumbani, mwenye watoto na yeye, kuchukua jiwe na kuponda kichwa cha mtoto wa miaka mitatu ili kumuua,na kuendelea na shughuli zake kama kawaida maiti ikiwa nyuma ya nyumba, ....I say, dunia imekwisha.

Na pili sielewi kitendo cha hakimu kumfunga miaka 11. Naona na yeye akili sawa tu na -Wasouth wengine.
 

Forum statistics

Threads 1,272,952
Members 490,211
Posts 30,465,665