حسن نصرالله ضغط “زر الحرب” وصواريخ حزب الله أمطرت قاعدة إسرائيلية عسكرية وهذا رد نتنياهو
قصف متبادل
رد حزب الله اللبناني اليوم، الأحد، على العدوان الإسرائيلي الأخير باستهداف قاعدة عسكرية...
Kwa wiki ya tatu sasa msitu wa Amazon unaendelea kuwaka moto.Moto kuwaka huwa kawaida katika msitu huo mkubwa zaidi duniani lakini huu wa sasa unaonekana haudhibitiki.
Chanzo cha moto...
Rais wa Italia Sergio Mattarella amempa Waziri Mkuu Giuseppe Conte agizo la kuunda serikali mpya Alhamisi, kufuatia mpango wa kuepusha uchaguzi wa mapema.
Uamuzi huo umetolewa na Mattarella...
Iran yaonyesha satalaiti, yakanusha madai ya Trump
Aug 31, 2019 16:21 UTC
Iran imeonyesha hadharani satalaiti yake ya mawasiliano inayojulikana kama Nahid 1 na hivyo kukanusha madai ya Rais Donald...
The government wants to exit fully from Air India as it embarks on another effort aimed at divesting the loss-laden carrier after a plan to sell a 76% stake last year failed.
“I believe the...
Kiongozi wa muda mrefu wa Sudan aliyeondolewa madarakani Omar al Bashir, amefunguliwa mashitaka rasmi ya rushwa na kupokea fedha kinyume na sheria kutoka nje ya nchi.
Akizungumza katika kikao cha...
Katika jitihada za kujitoa na Umoja wa Ulaya maarufu kama Brexit, Waziri Mkuu wa Uingereza ameamua kwa makusudi kusimamisha shughuli za Bunge hadi Oktoba katikati ambapo zitasalia wiki 2 pekee ili...
Akaunti ya Mkurugenzi Mtendaji wa Twitter, Jack Dorsey kwenye wavuti ilivamiwa Ijumaa, na anaweza kuwa amekumbwa na hatari ambayo Twitter ilionywa hapo awali na ikakataa mara kwa mara ilikuwa...
Marekani imemuwekea vikwazo aliyekuwa kiongozi mkuu wa kikosi cha ulinzi (Presidential Unit) cha aliyekuwa rais wa Zimbabwe Robert Mugabe. 'Bodyguard' huyo Anselem Sanyatwe anatuhumiwa kwa kuamuru...
Maelfu ya watu nchini Uingereza kote leo Jumamosi wanatarajiwa kushiriki katika maandamano ya kupinga hatua ya Waziri Mkuu Boris Johnson ya kusimamisha shughuli za Bunge.
Maandamano hayo...
KIROJA CHA 'UAFRIKA'
Siku chache kabla ya kuanza mkutano wa SADC wakati Raisi wa Afrika ya Kusini akizuru maeneo ya kihistoria ya kambi za wapigania uhuru wa ANC Morogoro, raia wake walikuwa 'hae...
Korea Kaskazini yarusha makombora zaidi wakati Korea Kusini ikifanya mazoezi na Marekani
Haki miliki ya pichaAFP
Korea Kaskazini imerusha makombora mawili yasiyojulikana, na kufanya idadi ya...
Tuliona na kusikia wakati ule Waingereza walipopiga kura kwa hiari yao kuamua kujitoa uanachama wa Umoja wa Ulaya baada ya Serikali kuridhia jambo hilo chini ya uwaziri Mkuu wa wakati ule. Hili la...
Rais wa Guinea-Bissau anaye maliza muda wake, José Mario Vaz, ametangaza kwamba atawania muhula wa pili katika uchaguzi wa urais nchini humo ambao umepangwa kufanyika Novemba 24.
Rais Vaz amesema...
Kukiri Rais wa Ufaransa juu ya kufikia tamati ubeberu wa Magharibi duniani
Aug 29, 2019 04:51 UTC
Kwa karne kadhaa Wamagharibi wametekeleza ubeberu katika uga wa kimataifa iwe ni katika kipindi...
Katika mkutano wa nchi zenye maendeleo na demokrasia kubwa Duniani G7, rais wa Marekani bwana Trump amesema anajutia kwa nini hajaipiga China vikwazo vya kutosha. Anasema vilivyopo bado anaona...
Waziri wa Ulinzi Ufaransa: Ulaya haitashiriki katika muungano wa baharini wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi
Aug 30, 2019 11:59 UTC
Florence Parly
Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa amesema kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.