International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Afrika Kusini wamelalamikia vurugu ambazo zinazoendelea nchini humo kuwa ni muendelezo wa chuki ya wenyeji dhidi ya raia wa kigeni. Watanzania hao wamedai...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
''United States is back on a leadership role on the world stage.That was not the case with the last administration''
0 Reactions
2 Replies
593 Views
Authorities in the Bahamas made a last-minute plea to residents and tourists on Saturday to seek shelter as time ran out before powerful Hurricane Dorian hits, warning those that refused to move...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hadi jana usiku wa saa 5 Bunge la Uingereza lilikuwa kwenye mjadala mkali kuhusu nia ya Waziri Mkuu Wao kutaka kujitoa EU bila maelewano. Bunge hasa Upinzani Wao wakitaka kumzuia Waziri Mkuu...
0 Reactions
2 Replies
646 Views
Hong Kong inaendelea kukumbwa na maandamano. Baada ya vurugu mwishoni mwa wiki hii iliyopoita kati ya polisi na waandamanaji, maandamano mapya yanatarajia kufanyika leo, wanafunzi wakiwa katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura 328 dhidi ya 301, kuunga mkono juhudi za kuzuia mpango wa taifa hilo kujiondoa kutoka Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano. Hatua hiyo sasa inapisha njia kwa...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Walipotuma Drone lebanon waliambiwa watajibiwa kisawa sawa Walivyo pata taarifa hizo Israel ikajipanga kisawa sawa na kutuma wanajeshi kaskazini mwa nchi wakafunga ni mitambo ya 24 hours ya...
5 Reactions
25 Replies
3K Views
Al Manar: Kamanda wa jeshi la utawala wa Kizayuni aangamizwa kwenye oparesheni ya Hizbullah ya Lebanon Sep 01, 2019 17:16 UTC Televisheni ya al Manar imetangaza kuwa harakati ya Hizbullah ya...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
https://www.pulse.ng/bi/politics/the-7-most-powerful-african-countries/fjz3kg8
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Hawa jamaa tunaodai ni ndugu zetu leo wameamua kutembeza mkong'oto za kupora mali za wageni hasa wa asili ya Africa. Kuna watu tumewambia humu. Huu udugu wa CCM na ANC hauna uhusiano wowote na...
7 Reactions
63 Replies
7K Views
Wananchi wa Burundi hii leo wanaadhimisha kumbukizi ya miaka 57 toka taifa hilo lilipojipatia uhuru wake toka kwa wakoloni wa Ubelgiji Julai 1, 1962, wakati huu taifa hilo likiendelea kushuhudia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis keshokutwa Jumatano anaanza ziara ya wiki moja, akitembelea nchi za Afrika ambazo zimekumbwa na umaskini, vita na majanga ya asili. Papa Francis...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani naomben msaada kwa wanaojua process za kufatilia mpk mtu upate passport ya kimataifa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Israel mocked for using mannequins to prevent Lebanese retaliation Fri Aug 30, 2019 09:20AM Home Middle East Palestine [https://cdn]Photo of a jeep with a mannequin allegedly positioned by...
12 Reactions
44 Replies
5K Views
NIKUKUMBUSHE Wiki mbili zilizopita ndege ya Israel ilishambulia nyumba huko Syria na kuua Vijana wa wawili raia wa Lebanon na Wafuasi wa Hizbullah. Aidha ndege zisizo na Rubani (Drones)...
10 Reactions
69 Replies
11K Views
Uwezo wa Iran wa kujihami angani umemfanya adui apoteze matumaini Sep 01, 2019 11:25 UTC Brigedia Jenerali Alireza Sabahi Fard, Kamanda wa Kituo cha Ulinzi wa Anga cha Khatamul Anbiya (SAW) cha...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Madrassa Zanyanyasa Wanafunzi Senegal Wanafunzi 16 walifariki katika shule za masomo ya Qur'an, au madrasa, nchini Senegal kati ya mwaka 2017 na 2018 kutokana na mateso ya kupigwa, kutelekezwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah alisema kwamba ghasia za Israeli katika mji wa Aqraba, kusini mwa Damaski, ulilenga nyumba ambayo vijana wa Lebanon wa Hezbollah walipumzika na wafia imani wawili...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Hezbollah says targets Israeli military vehicle, all crews killed, injured Home / Middle East / Lebanon This video grab shows columns of smoke billowing after an attack by the Lebanese Hezbollah...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Meli yenye urefu wa mita 22 iliyokuwa imeabiri watalii 39, ambayo imeteketea kwa moto katika bahari kwenye pwani ya California, Marekani. Watu zaidi ya wanane wamefariki dunia jana Jumatatu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom