International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Wana jamvi nimeona hili niliweke hapa. Kumbe siku za kuishi kwa mtu hupangwa na Muumba na wala si ADUI yako. Hivi karibuni baada ya Fidel Castro kufariki. Marekani na shirika lake la Kijasusi la...
5 Reactions
25 Replies
4K Views
[The Castro family clan |] is good,have a look at it! The Castro family clan | In a country where the average salary is $20, the dictator and his family live a very different life from the 11...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
ANGOLA: Rais Jose Eduardo dos Santos aliyedumu madarakani kwa miaka 37 ametangaza rasmi kutoshiriki uchaguzi utakaofanyika mwakani. Kiongozi huyo mwenye miaka 74 aliingia madarakani na kuwa rais...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
The tyrant, semi God being, self proclaimed life president, dictator Mr. Yahya Jammeh has accepted the will of people to prevail. Let the people made President elect Mr. Adama Barrow prove and...
0 Reactions
0 Replies
454 Views
Ndege iliyokuwa imewabeba wachezaji wa timu ya mpira kutoka nchini Brazil ambayo ilipata ajali nchini Colombia inasemekana kwa muujibu wa taarifa zilizovuja ndege hiyo iliishiwa mafuta kutoka...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mshindi wa tuzo ya Nobel mwenye asili ya Nigeria Wole Soyinka amesema Alhamisi kuwa ametimiza ahadi yake ya kutupilia mbali stakabadhi yake ya kuishi Marekani. Mshindi wa tuzo ya Nobel mwenye...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Kuna uchaguzi leo Gambia na Rais aliyepo madarakani amezima intaneti na kuzuia simu kupigwa nje ya nchi kutoka nchini Gambia. Rais Yahya Jammeh ametawala taifa kwa kipindi cha miaka 22. Rais...
8 Reactions
47 Replies
4K Views
  • Redirect
Wakati hapa Bongo Prof Lipumba akijiapiza kwamba lazima chama chake akiondoe kwenye muungano wa vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA kwa maslahi yake binafsi na wanaomtumia kuleta...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mmojawapo wa madikiteita sugu wa kiafrika amebwagwa katika uchaguzi wa jana. Nampongeza kwa kukubali defeat! Kwa hilo kukubali kushindwa, tunamsamehe hata makosa yake ya myuma!
1 Reactions
Replies
Views
Mameya kutoka miji mikubwa duniani wamesema watapiga marufuku magari na malori yanayotumia mafuta ya Diesel katika miji yao ifikapo mwaka 2025 Viongozi hao kutoka miji ya Paris, Mexico City...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa shirika la kijasusi nchini Marekani CIA amemuonya rais mteule wa Marekani Donald Trump kwamba kusitisha makubaliano ya mpango wa nyuklia na Iran itakuwa ''hatari na upuuzi''. Katika...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Mteule wa Marekani Bwana Donald Trump ametoa ya moyoni baada ya shambulio la kigaidi lililofanywa na kijana Mkimbizi kutoka Somalia.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwandishi maarufu na mshindi ya tuzo ya Nobel raia wa Nigeria Wole Soyinka, ametimiza ahadi ya kuichana kadi ya Uraia wa Marekani(green card). Mwezi uliopta mshindi huyo wa tuzo la fasihi alisema...
3 Reactions
41 Replies
8K Views
Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo Joseph Kabila, amewahakikishia raia wake kwamba ataheshimu Katiba ya nchi na kwamba hatawania urais katika Uchaguzi mkuu ujao unaotegemewa kufanyika mwaka...
6 Reactions
87 Replies
11K Views
  • Redirect
Mwandishi maarufu na mshindi ya tuzo ya Nobel raia wa Nigeria Wole Soyinka, ametimiza ahadi ya kuichana kadi ya Uraia wa Marekani(green card). Mwezi uliopta mshindi huyo wa tuzo la fasihi alisema...
2 Reactions
Replies
Views
Rais wa Marekani bwana Donald Trump ametoa ramani ya ujenzi wa ukuta mpakani mwa Mexico na Marekani ili kuwathibiti Waamiaji kutoka nchini humo . Amesema ukuta uo utaanza kujengwa mapema...
8 Reactions
76 Replies
11K Views
Watu zaidi ya mia moja wamechinjwa na kuchomwa chomwa visu kwa sababu ya uhasama wa kikabila nchini Uganda na maiti zao kutelekezwa. Hapo juu hao wawili ni Raia wa uganda na waandishi Wa habari...
4 Reactions
97 Replies
12K Views
RABAT — Morocco accused African Union Commission head Nkosazana Dlamini-Zuma of blocking its efforts to rejoin the organization it left 32 years ago, the country's foreign ministry said on...
0 Reactions
2 Replies
458 Views
A visitor looks a large picture of children victims of the 1994 Rwandan genocide on April 4, 2014 at the Genocide memorial in Nyamata, inside the Catholic church where thousands were slaughtered...
1 Reactions
5 Replies
787 Views
Back
Top Bottom