Canada's Barrick to pay $430 million to settle Mali gold mine dispute, Bloomberg News reports. Nov 25 (Reuters) - Barrick Mining (ABX.TO) , opens new tab has agreed to a 244 billion CFA francs...
Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran...
Yale yale ya muarabu na dini yake yanaendelea kusababisha mauaji Afrika na duniani. Mwafrika anamchinja Mwafrika mwenzake kisa dini ya muarabu.
============
Vikundi vinavyohusiana na Islamic...
Rais wa Marekani Donald Trump, ambaye kwa mara nyingine ameonyesha kusikitishwa kwake kutokana na tabia ya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin mnamo Jumatatu, Julai 14, ameipa Urusi siku 50 kumaliza...
MAPUMZIKO: Jeshi la Wanajeshi la IDF laishambulia Hezbollah Nambari 2 mjini Beirut.
Ofisi ya Waziri Mkuu yathibitisha shambulio la anga la usahihi katikati mwa Beirut linalomlenga Haytham ‘Ali...
Msemaji wa IDF atangaza rasmi:
IDF imemwangamiza Haitham Ali Tabatabai, Mkuu wa utawala wa shirika la kigaidi la Hezbollah.
Msemaji wa IDF atangaza kwamba leo, Novemba 23, 2025, IDF, ikiongozwa...
Organisation of Islamic Cooperation (OIC), inayojulikana pia kwa Kiswahili kama Umoja wa Ushirikiano wa Kiislamu, ni shirika la kimataifa ambalo linalenga kukuza umoja, ushirikiano wa kiuchumi...
Baada ya Hamas kushindwa vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wanafuatwa popote walipo na kuuwawa na wengine waliokuwa wamebaki kwenye mahandaki
Njaa imeanza kuwatoa huko na...
Wametumia miaka mitatu na nusu tu kujenga na kumaliza kabisa daraja lote, kwa mwendo huu ndio maana Wachina wameridhika na utawala wa uimla wa Wakomunisti maana ni kama wanawatendea raia wao...
Ilitegemewa kutokana na urafiki mkubwa na ujirani uliopo kati ya China na Russia basi raia Wachina wangejaa kwa wingi zaidi Russia kuliko sehemu nyingine ila hali ni tofauti kabisa.
Kuna raia...
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, na Rais wa Rwanda, Paul Kagame, wamekutana nchini Qatar kwa mazungumzo ya kwanza ana kwa ana tangu kuanza kwa mashambulizi ya...
Historia Huwa inajirudia
Baada ya Dikteta Museven na mwanae kuishiwa hoja za kisiasa anataka atengeneze tatizo la nje Ili wanachi waondoe focus kwenye changamoto za utawala wake wa ovyo.
LEngo...
Joshua Loitu Mollel🕯️
Leo, tulifanya sherehe ya kuaga katika Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion. Mwili wa Joshua sasa unaruka kurudi nyumbani Tanzania.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi ~...
Nimehamasika na maajabu anayofanya huyu rais kijana nchini mwake tena kwa kipindi kifupi sana na kwa kutumia vyanzo vya mapato ya ndani.. Ni wazi si wazungu tuu bali hata marais wenzake wa Afrika...
Miaka 10 iliyopita, dunia ilishuhudia kwa hofu jinsi magaidi wa jihadi walivyowaua waandishi wa habari wa Charlie Hebdo na kuwaua raia katika Bataclan. Ufaransa ilitangaza vita dhidi ya ugaidi...
Hassan Ghazaly, an Egyptian member of the African Peer Review Mechanism (APRM) Focal Point Committee and Founder of the Global Solidarity Network, formally handed over the outcomes of the 5th...
Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel aliyeuawa na Hamas kuwasili leo kutoka Israel
Maelezo ya picha,Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel ukiagwa nchini Israel kabla ya kurudishwa Tanzania, aliuawa na...
Serikali ya Uholanzi imesitisha uamuzi wake wa kuingilia kampuni ya kutengeneza chipu, Nexperia, inayomilikiwa na China, baada ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili.
Mnamo Septemba, serikali ya...
Sikutilia manani sana huko Nyuma, kumbe jamaa na mke wake ni watusi pure!!
Sasa ndo naelewa kwanini Muhoozi ana chuki, kiburi na majivuno na kuwatreat waganda vibaya namna ile.
Kwa miaka mingi...
Hivi karibuni, mataifa mawili muhimu kiuchumi barani Afrika – Afrika Kusini na Nigeria – yamekuwa shabaha ya shutuma za rais wa Marekani, Donald Trump, jambo lililozua mjadala mkubwa kimataifa...