International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nashangazwa sana na Dunia Hii ya leo,Haki imekuwa batili,Dhulma inaonekana kuwa haki Damu za waislamu zimekuwa rahisi kumwagwa,kila mwenye kuuwa leo hujifunzia kwa waislamu. Tumepandikiziwa...
2 Reactions
58 Replies
6K Views
Mpango wa Uingereza kujiondoa umoja wa Ulaya tarehe 31.10.2019 kama alivyoapa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Borris Johnson umeshindikana hivyo wameomba muda zaidi kwa Umoja wa Ulaya ili waweze...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Limetokea katika eneo la Mindanao Kusini mwa nchi hiyo, licha ya kuua watu hao pia limeharibu miundimindu, mali na nyumba Eneo hilo lilikumbwa na tetemeko la ukubwa wa 6.3 mwezi Oktoba na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watu 18 wameuwawa na mamia ya wengine wamejeruhiwa nchini Iraq katika shambulizi lililofanywa dhidi ya waandamanaji katika Mji Mtakatifu wa madhehebu ya Shia wa Karbala. Kwa mujibu wa Afisa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tume ya uchaguzi ya Msumbiji imemtangaza Rais Filipe Nyusi kuwa mshindi wa uchaguzi wa Urais kwa asilimia 73 ya kura na chama chake cha FRELIMO kitakuwa na asilimia 74 ya viti vya Bunge, Chama...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Rais wa Nchi hiyo, Jose Mario Vaz amemtangaza, Faustino Fudut Imbali kuwa Waziri Mkuu mpya wa Taifa hilo. Imbali aliwahi kuwa Waziri Mkuu kuanzia 2000 hadi 2003 Hata hivyo amekumbana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
In my view, German has a stronger economy than England, but if it comes to war, UK is far better than Germany since UK has fought many wars and won, unlike Germany. Also, English citizens seems to...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Over 40 people are said to have died in the Cameroon landslide on Tuesday. Reports from the Cameroon Radio Television said the incident occurred at around 9pm in Bafoussam. “Around 10 p.m. I...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hotels, lodges and guest houses in Ugandan capital Kampala and neighbouring districts have to disclose details of visitors every day as part of measures to fight urban crime. Police chief...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi jamani, kwanini Marekani likija suala la kuguswa Wakurdi anakua mkali sana? Je, kuna ajenda gani kati ya Marekani na Wakurdi? Juzi Mturuki kaingia kushambulia akatishiwa hadi na vikwazo na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Vifo vya watu 39 walioswekwa na kusimikwa kwenye trela refregirate vimetingisha vichwa vya habari duniani. Inasadikika raia hao wanaume 30 na wanawake 9 wengi wao ni wa China na baadhi wa Vietnam...
14 Reactions
124 Replies
16K Views
Tunaitaji viongozi sampuli hii Africa. Kagame ni mfano wa kuigwa. Msikilize hapa kwenye hii attachment.
1 Reactions
66 Replies
6K Views
**UPDATE** Kitu kimepita! Canada itakuwa nchi ya kwanza katika mataifa ya G7 kuhalalisha bangi kwa matumizi yasiyo ya kimatibabu kwa nchi nzima. Bangi kwa ajili ya matibabu ambayo inahitaji...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Wadau, Marekani na mafuta ni sawa na uji na mgonjwa! Hebu soma kauli ya Trump ''But we're keeping the oil -- remember that. I've always said that: ‘Keep the oil.’ We want to keep the oil...
0 Reactions
1 Replies
844 Views
“The oil is, you know, so valuable, for many reasons,It fueled ISIS, number one. Number two, it helps the Kurds, because it's basically been taken away from the Kurds. They were able to live with...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mapambano yazuka nchini Syria kati ya vikosi vya serikali ya Syria na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki Wanajeshi wa Syria wamekabiliana kwa mara ya kwanza na waasi wanaoungwa mkono na Uturuki...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Toka Baba wa Taifa la Palestina YASSER ARAFAT auawe kwa sumu na waliberali huko Paris, nimekuwa namuona tu huyu Mzee Mahmoud Abbas hakuna uchaguzi wala nn?kwa nn na sisi tusiige kuokoa pesa...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Mfanyakazi wa kampuni ya ndege ya Southwest Airlines amewasilisha kesi mahakamani akiwashutumu marubani wawili kwa kuficha kamera katika choo cha ndege hiyo na kuwachukua picha za moja kwa moja...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari! Kwa kipindi kirefu tumekuwa tukifuatilia sakata hili kati ya Marekani na Uturuki kuhusiana na mpango wa ndege za kivita za kizazi cha tano za F-35 ambapo Marekani iliiondoa Uturuki katika...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa taarifa, Abu Bakr al Baghdadi ameuawa baada ya Vikosi vya Marekani kufanya shambulio la anga Kaskazini Magharibi mwa Syria > Hata hivyo uthibitisho rasmi unasubiri kipimo cha...
1 Reactions
106 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…