A nine-year-old Belgian boy who was on track to become the world's youngest university graduate has terminated his studies at the Dutch university of Eindhoven following a dispute over his...
The Irkut corporation and Air Tanzania will study the possibility of supply short and medium-range aircraft MS-21 to Tanzania, according to a memorandum of understanding signed by the companies on...
Ujerumani yaziajiri kampuni za Rafael pamoja na Atos ili kuunda "Uwanja wa Vita wa Kioo"
Kampuni ya uzalishaji wa mifumo ya kijeshi ya Rafael (Rafael Advanced Defense Systems) ya Israel...
Wachimbaji kumi na watatu wameokolewa baada ya kukwama chini ya vifusi kwa zaidi ya masaa 80 katika mgodi mmoja katika mkoa wa Sichuan kusini magharibi mwa China, viongozi wa eneo hilo walisema...
Waandamanaji walikusanyika mjini New York, Marekani hapo jana kwa lengo la kushinikiza kushitakiwa na kuondolewa madarakani rais Donald Trump.
Mkusanyiko huo unafanyika katika kipindi kifupi...
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa anatarajiwa kusafiri kwenda Niger kwa ajili ya kumbukumbu ya heshma kwa wanajeshi 71 ambao waliuwawa kwa shambilizi la wenye itikadi kali, mapema mwezi huu. Macron...
Katika takribani miaka sita iliyopita Umoja wa Mataifa na makundi mengine ya misaada ya kiutu, umefanikiwa kuvuka mpaka kuingia Syria kutokea Uturuki, Iraq na Jordan, ikiwa ni maeneo manne ambayo...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kuzingatia kuongeza vikwazo zaidi dhidi ya Sudan Kusini kama serikali ya taifa hilo haijatekeleza makubaliano ya amani na upande wa upinzani...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jenerali Antonio Guterres jana ameyataka mataifa kuongeza jitihada zao za kuwalinda wakimbizi katika maeneo tofauti ya ulimwengu, katika kipindi hiki ambacho idadi...
Korea Kusini: Si ajabu Kim Jong-un akatangaza kufuta kabisa mazungumzo na Marekani
Wizara ya Umoja ya Korea Kusini imetangaza kwamba iwapo hakutapatikana maendeleo chanya katika mazungumzo kati...
Shirika la utetezi wa haki za binaadamu la Amnesty International limesema takribani watu 304 waliuawa katika siku tatu za ukandamizaji dhidi ya waandamanaji nchini Iran mwezi Novemba.
Awali...
Mbali na kutengeneza au kuunda silaha kali tu, kama wengi wanavydhania, Urusi pia ni mabingwa wa bidhaa kwa matumizi ya kawaida, kwa matumizai ya kiraia, kibiashara na mambo mengine.
Sasa...
Uturuki yatishia tena kufunga Kituo cha Anga cha Incirlik
Rais Recep Tayyep Erdogan wa Uturuki kwa mara nyingine tena ametishia kwamba atafunga shughuli za majeshi ya Marekani katika Kituo cha...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar wamejikubalisha kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kabla ya mwisho wa mwezi wa Februari mwakani, baada ya kumalizika kwa siku 100...
Mke wa makamu wa rais wa Zimbabwe ameshtakiwa na jaribio la kutaka kumuua mumewe.
Mary Mubaiwa ambaye tayari anashutumiwa kwa madai ya ufisadi, aliwasilishwa mbele ya mahakama moja ya Harare siku...
Australia has experienced its hottest day on record with the national average temperature reaching a high of 40.9C (105.6F), meteorologists say.
The Bureau of Meteorology said "extensive" heat on...
Qatar: Waarabu wanapaswa kuanza mazungumzo na Iran
Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amewataka wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kuanza mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya...
Raia 22 wakiwamo watoto wamefariki dunia katika huko kaskazini mashariki mwa Syria baada ya majeshi ya serikali na Urusi kufanya mashambulizi ya anga.
Kundi la kujitolea la Syrian Civil Defence...
Hii ni picha imechorwa kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa rangi,lakini imeibua maswali mengi sana kwani wanadai imekaa kuchochea ubaguzi...
Nini maoni yako??
Sent using Jamii Forums mobile app