Mwaka 2019 waandishi wa habari 49 wameuawa kwenye nchi tofauti kama inavyoonyesha hapo juu.
49 journalists murdered in 2019
Forty-nine journalists were killed across the world in 2019...
Two women tried to vacuum blood out of their vaginas while on their period. Watch the video for the whole story.
===
We’re disappointed that we have to bring this to your attention, but at least...
Serikali ya Zambia imehalalisha kilimo cha bangi kwa sababu za kiuchumi na tiba.
Kwa hatua hiyo, taifa hilo linakuwa la hivi karibuni kabisa katika kuridhia matumizi ya bangi. Kwa mujibu wa...
IMF imeidhinisha mkopo wa Dola milioni 368.4 kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ili kuwezesha nchi hiyo kukidhi mahitaji ya haraka.
Shirika la fedha duniani IMF limeidhinisha mkopo wa Dola...
Waasi wa kundi la ADF wameshambulia tena mji wa Beni katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kuuwa watu 22 katika eneo la Ndombi na Kamango.
Waasi hao wanaelezwa kuwashambulia wakaazi...
Takwimu mpya zinaonesha idadi ya wakimbizi wanaoingia katika mataifa ya Umoja wa Ulaya kwa njia haramu mwaka huu zimeongezeka kwa asilimia 46 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Hayo yameibuliwa...
China imetoa kanuni za maadili kwa waandishi wa habari ambazo inawataka wanahabari kushikilia mamlaka ya Chama cha Kikomunisti na kuongozwa na itikadi ya Rais Xi Jinping.
Kanuni hizo ambazo...
For the first time since the end of the INF Treaty, the U.S. Air Force has tested a ground-launched, intermediate-range ballistic missile.
A screen grab of the Dec. 12 flight test of U.S. ground...
Haya kumekucha tena. Marekani yamtolea uvivu Kim na deadline zake. Soma hiyo.
=======
SEOUL, South Korea (AP) — A senior U.S. diplomat said Monday that Washington won’t accept a year-end deadline...
Vyombo vya dola nchini Malawi vimemtia nguvuni mwanaume mmoja baada ya kudaiwa kumpiga risasi mke wake wa pili kwa kumhisi kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine.
Polisi imesema Bw. William Phiri...
Watu14 wamefariki na Watu wengine saba wameokolewa huku wengine wawili wakiwa bado ndani ya mgodi huo wa Makaa ya Mawe na Gesi uliopo Kusini-Magharibi mwa China katika Mji wa Guizhou
Tukio hilo...
Mary Mubaiwa
Mamlaka za Zimbabwe zinamshikilia mke wa Makamu wa Rais wa nchi hiyo kwa makosa ya utakatishaji wa fedha na kupeleka nje ya nchi kiasi cha dola milioni moja.
Kwa mujibu wa mamlaka...
Msemaji ameliambia shirika la habari la KNCA kuwa jaribio hilo lilifanyika siku ya Ijumaa kalika uwanja wa kituo cha uzinduzi wa Setilaite cha Sohae, lakini hakutoa maelezo zaidi.
Mazungumzo...
Ghasia zimeibuka tena katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, ambapo vikosi vya usalama vimetumia gesi ya kutoa machozi na mizinga ya maji dhidi ya waandamanaji ambao walikuwa wakirusha chupa na...
Mazungumzo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi ya Madrid (COP25) yamemalizika kwa hali ya kuvunja moyo, baada ya wachafuzi wakubwa wa mazingira kupinga nyongeza ya jitihada za kukabiliana na ongezeko la...
Waokoaji wametoa miili ya watu wawili kutoka kwenye kifusi cha jengo la ghorofa tatu lililodondoshwa na tetemeko la ardhi huko kusini mwa Ufilipino. Watu wengine 7 waliokuwemo ndani ya jingo hilo...
One soldier killed & another missing after fire breaks out on Russian aircraft carrier Admiral Kuznetsov
MOSCOW - At least one military serviceman was killed and 12 people were injured by a...
Three people, including two children, have died in a shack fire in Strand, Cape Town during the early hours of Sunday.
Jermaine Carelse, Cape Town Fire and Rescue spokesperson, said the City’s...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.