Russia’s Irkut and Air Tanzania to study possibility to supply MS-21 aircraft to Tanzania

king of zodiac

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
311
432
The Irkut corporation and Air Tanzania will study the possibility of supply short and medium-range aircraft MS-21 to Tanzania, according to a memorandum of understanding signed by the companies on Thursday.

After the talks executive director of the Tanzanian company Johnson Mfinanga said that in terms of technical and operational characteristics the Russian airliner meets the requirements of the program for the development of the national carrier.

Earlier Irkut held talks on sales of the medium-range MS-21 airliner to Egypt and South Africa. Preliminary, the company discussed the sale of 30 MS-21 airliners with a n option for sales of 10 more aircraft to South Africa’s Pamodzi Investment Holdings.

Also Irkut and Egypt’s KATO Investment signed an agreement on supply of Russian passenger MS-21 airliners. Cairo Aviation, a subsidiary of KATO Investment, planned to acquire six MS-21 aicraft with an option for four more aircraft.

Earlier Russia’s United Aircraft Corporation does not rule out a possibility to set up a leasing company to sell its aircraft in Africa.

Currently, Russia’s Industry and Trade Ministry is discussing the delivery of up to 40 SSJ-100 aircraft to EgyptAir.

Earlier, the Russian Ministry planned to lease out 12 SSJ-100 aircraft to EgyptAir.

Air Tanzania is the national carrier of Tanzania. The company was founded in 1977. It is 51% owned by the state. The company’s fleet includes only two Bombardier aircraft.

Russia’s Irkut and Air Tanzania to study possibility to supply MS-21 aircraft to Tanzania
 
Russia hawafanyi majaribio ktk aviation TENA UKOME

Nitajie any major airline anywhere on this planet yenye ndege za Russia kwenye fleet zao?
Ile ndege ya shirika la ndege la Russia iliyotunguliwa Sham El Sheikh ilikuwa aina gani? Kwa nini wasitumie ndege walizotengeneza wao (mnazotaka kununua nyie mazoba)?
 
X max za Boeing zilizorudishwa assembly line nazo utasema ni za Urusi?

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
Hapo kwenye red unamaanisha sikukuu ijayo ya X-max au unamaanisha zile Boeing Max 737?

Hakuna aina ya Ndege ya Russia yenye uwezo kuzipita ndege za Boeing... Zile Model za Max tatizo lilikuwa ni Software ambapo tatizo lishakuwa solved so ndizo zitakuwa ndege bora sana baada ya tatizo kugunduliwa... ila Midege ya Russia wacha inunuliwe tutakupandisha wewe na familia yako....

Tatizo kila jambo mnalochangia mnaligeuza kama ushindani fulani wa kimpira au kama watu wa kigoma full ubishi na hakuna jambo atakalolikubali hata kama hulijui... JF ni sehemu ya Elimu katika Maisha Jifunze acha upumbavu...
 
Ningekujibu ila upo nje ya quote yangu so kanisome tena kisha shirikisha ubongo wako... i said Accidents Nyingi... so uliza kuhusu nilichosema na sio nilichokisema... utakua lini wewe upevuke!
Ajali hatuzitaki ila automatically zipo kwan hao boeing hawapati ajali ?!

Tena ndege zao ikitokea ajali unakuta ajali zilotokea kwa ndege za russia kwa ujumla wake hazijaua watu wengi kama hayo ma boeing na mengineyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitajie any major airline anywhere on this planet yenye ndege za Russia kwenye fleet zao?
Ile ndege ya shirika la ndege la Russia iliyotunguliwa Sham El Sheikh ilikuwa aina gani? Kwa nini wasitumie ndege walizotengeneza wao (mnazotaka kununua nyie mazoba)?
Hazitumiki na major airlines kwa vile Marekani na washirika wake wameiwekea Russia trade barriers.

Vikwazo hivi ni pamoja na kuzuia makampuni makubwa ya magharibi kununua ndege za mrusi. Pia bodi za usafiri wa anga umegoma kuzipa leseni ndege za russia kwa vigezo vya kusiasa vilivyotokana na vikwazo vya mmarekani.

Ila soon irkut mc-21 na sukhoi super jet 100 atamchallenge sana mmagharibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Mlaleo,Mpumbavu ni wewe uliyeshindwa kutambua x max ilisimama badala ya nini. Pale ambapo nilitakiwa kutype "Boeing 373 Max" nimeweka x max kiufupi kumbe nabishana na jingalao moja linalodai "x max" ni sikukuu, sijui ya wapi hiyo

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Screenshot_2019-12-17-07-29-06-905_com.android.chrome.jpg
 
Nitajie any major airline anywhere on this planet yenye ndege za Russia kwenye fleet zao?
Ile ndege ya shirika la ndege la Russia iliyotunguliwa Sham El Sheikh ilikuwa aina gani? Kwa nini wasitumie ndege walizotengeneza wao (mnazotaka kununua nyie mazoba)?
Russian airlines nyingi zinatumia Russian airplanes - the sukhoi superjet in particular na sasa wanataka leta hii MC 21 sokoni. Aeroflot imeshaagiza nyingi tu.
Mbona Interjet ya Mexico na Brussels Airlines ya Ubelgiji wote walikuwa wanatumia Superjet.
Tatizo la ndege za Russia sio quality yake ni mambo ya maintenance & repair. Upatikanaji wa spare parts huwa ni tatizo sugu kwa sababu bado hawajajitengenezea global network ya suppliers wa spare parts na MRO services kama wenzao Boeing na Airbus.
 
Mlaleo,
We jamaa hiyo Irkut MC-21 wazungu wenyewe wanakiri kwamba imezidi ndege zao especially kwenye vitu viwili
Kwanza ni composite body - MC 21 imetengenezwa using composite materials kwa kiasi kikubwa hivyo kuifanya kuwa nyepesi sana
Pili ni upana wake - hii inasaidia kuwapa abiria comfort wanapokuwa angani na pia kuwezesha watu kupishana kirahisi kwenye ndege sio mtu ukitaka kwenda chooni mpaka air hostess asukume toroli kukupisha.

Rejea hii article from Forbes: New Russian MC-21 Aircraft Can Compete With Boeing And Airbus Models, Analysts Say
 
Russian airlines nyingi zinatumia Russian airplanes - the sukhoi superjet in particular na sasa wanataka leta hii MC 21 sokoni. Aeroflot imeshaagiza nyingi tu.
Mbona Interjet ya Mexico na Brussels Airlines ya Ubelgiji wote walikuwa wanatumia Superjet.
Tatizo la ndege za Russia sio quality yake ni mambo ya maintenance & repair. Upatikanaji wa spare parts huwa ni tatizo sugu kwa sababu bado hawajajitengenezea global network ya suppliers wa spare parts na MRO services kama wenzao Boeing na Airbus.

Quality ya product ni pamoja na post purchase service support
 
Back
Top Bottom