International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Nipo ndani ya Ndege ya KLM , naangalia screen iki-display ramani ya Africa ghafla ikaonyesha Ziwa lenye mgogoro Kati ya Tanzania na Malawi na ikaandika "Ziwa Malawi".....Je kufanya hivi ni bahati...
4 Reactions
42 Replies
6K Views
D.Trump amezidi kuwathibitishia ma-anti christ na ma-globalist kwamba yeye yuko kwa ajili ya USA na siyo Dunia yote, yeye siyo raisi wa Dunia bali ni raisi wa USA, hivyo hakuna tena kutuma Majeshi...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanamke anayetuhumiwa kumuua Kaka wa Kim Jong-un akiri kulipwa Dola 90 kwa tukio hilo huku akidhani kuwa ni masikhara. Naibu Balozi Andriano Erwin amesema kuwa mwanamke huyo wa umri wa miaka 25...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Mpiganaji wa ISIS anaonekana kwenye hii video akivizia huku amevaa mkanda wa bomu ya kujitoa mhanga, kwa bahati nzuri imemlipukia kabla ya kuwafikia walengwa. Sasa sijui wale hufa hivi kama wana...
15 Reactions
113 Replies
11K Views
Burundi inataka mshauri wa UN katika mazungumzo hayo Benomar Jamal kuondolewa kwa madai ya kupendelea upinzani Umoja wa mataifa umetoa wito kwa pande zinazokinzana katika mgogoro wa kisiasa nchini...
1 Reactions
1 Replies
557 Views
Amsterdam, Netherlands (CNN) Not a day goes by in the Netherlands without President Donald Trump making news. If you're an American traveling overseas, you have likely been buttonholed by locals...
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Rais wa Marekani Donald Tramp anasemekana anafanya maamuzi yake katika uendeshaji wa nchi hii kwa misingi ambayo ameiandika katika kitabu chake kiitwacho "ART OF THE DEAL" Msingi mkuu wa aina...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Post-convention poll: Clinton retakes lead over Trump Washington (CNN)Hillary Clinton emerges from her party's convention in Philadelphia with a restored lead over Donald Trump, having earned a...
5 Reactions
1K Replies
71K Views
Mwanajeshi wa zamani aliyekuwa amependekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump kuwa mshauri wake wa masuala ya usalama wa taifa amekataa kazi hiyo. Robert Harward alitarajiwa na wengi kuchukua...
5 Reactions
42 Replies
6K Views
Mtoto wa Mfalme wa Saudi azua gumzo baada ya kusafirisha ndege 80 aina ya mwewe kwa kutumia ndege. ===== Flying on a plane is generally an awful experience, but next time you're crammed in the...
1 Reactions
125 Replies
19K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amebatilisha agizo lililotolewa na mtangulizi wake Barack Obama lililowafaa wanafunzi walioamua kuegemea jinsia tofauti, ikulu ya White House imesema. Bw Obama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wataalamu wa afya ya kiakili wameandika barua wakisema Trump hafai kuwa rais. Ni suala ambalo hungetarajia watu walizungumzie hasa kuhusu mtu ambaye amekuwa akisimamia biashara ya thamani ya...
6 Reactions
167 Replies
15K Views
Tumezoea kuona Mbwa wakitumika na Polisi kusaidia kukamata Wahalifu na hata panya kutumika kutegua mabomu, kingine ambacho kimeripotiwa ni kuhusu Ndege aina ya tai ambao wanafundishwa kukamata...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
South Africa's national police chief Khomotso Phahlane says 136 people have been arrested in incidents during operations over the past 24 hours. Random acts of violence, looting and destruction...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Bangkok: One of the most vocal critics of Philippine President Rodrigo Duterte's deadly crackdown on drugs remained defiant after being arrested on Friday, declaring "I am innocent of these...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Polisi nchini Malaysia wamesema kuwa wamefichua kemikali iliyotumika kumuuwa nduguye wa kambo, kiongozi wa Korea Kaskazini, na kuitaja kuwa VX dawa ya neva. Sumu kali mno inayotumika katika vita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Constituents Flood Another GOP Congressman’s Town Halls And Angrily Confront Him One woman shouted that Rep. Tom Reed (R-N.Y.) was spreading “misinformation.” By Sam Levine Constituents of...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Stranded! Storm Doris chaos as thousands of commuters scramble for hotel rooms with Euston station closed, cross-country train services cancelled and drivers told to stay off the roads Stranded...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Mpiganaji wa kundi la kigaidi la IS aliuawa katika shambulio la bomu huko Mosul nchini Iraq ni mfungwa wa zamani katika gereza la Guantanamo Bay,BBC imebaini. Duru za usalama pia zimesema kuwa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Obama aliwahi kuwa mvutaji bangi, akaacha na kuamua kuwa makini na masomo yake ya sheria katika Chuo Kikuu cha Harvard, alisoma na kufanya kazi kwa bidii hadi pale alipofanikiwa kuchaguliwa kuwa...
2 Reactions
3 Replies
852 Views
Back
Top Bottom