Ndege mpya ya Urusi aina ya MC 2 kuchuana na Airbus na Boeing

Ndege mpya ya Urusi aina ya MC 2 kuchuana na Airbus na Boeing

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
Mbali na kutengeneza au kuunda silaha kali tu, kama wengi wanavydhania, Urusi pia ni mabingwa wa bidhaa kwa matumizi ya kawaida, kwa matumizai ya kiraia, kibiashara na mambo mengine.

Sasa wamekuja na ndege mpya aina ya MC 21. Ndege hii ni ya abiria tu, wala sio ndegevita. Wenyewe wanaiona kama ndege itakayoshindana na Air Bus na Boeing.

Mimi sijui lolote katika sekta hii ya anga; nimeleta tu habari hii kama nilivyoikuta ili tujifunze, jujadili na tujionee, maana wengi hudhani kuwa Urusi ana kazi moja tu Duniani: kutengeneza masilaha.

Pia, ikumbukwe ama ifahamike kuwa Urusi ndio mabingwa wa kuunda madege makubwa zaidi au mahelkopta makubwa zaidi duniani yenye uwezo wa kubebea vitu vizito sana.

1570790134807.png


1570790228273.png

1570790275162.png

Russia is all set to introduce its new passenger plane MC-21, billed as a competitor to Boeing and Airbus even as the project is overshadowed by sanctions and setbacks with its predecessor, the Superjet. The showpiece of this year's MAKS is the new civilian aircraft, which will be formally shown to potential clients after more than a decade in the making and multiple delays. Here are the first impressions of Irkut MC-21, which was seen performing a test run at MAKS 2019 air show in Zhukovsky, Moscow.

The Irkut MC-21 mid-range jet airliner performs at the MAKS 2019 air show in Zhukovsky, outside Moscow, Russia. (Image: R




    1. Russia's Airbus, Boeing Rivaling MC-21 Passenger Plane to be Unveiled Today
    2. The medium-haul MC-21, which is produced by Siberian-based manufacturer Irkut and seats up to 211 passengers.


      The showpiece of this year's MAKS is the new civilian aircraft, which will be formally shown to potential clients after more than a decade in the making and multiple delays.
      Putin lauded Russia's aircraft builders and their "unique traditions" which permit the country to "remain among the flagships of the global aerospace industry" and produce "breakthrough projects" such as the MC-21 and Mi-38 and Ka-62 helicopters.
      The salon is the first since Russia's United Aircraft Corporation (UAC), a conglomerate of the country's main civilian and military aircraft makers, was put in the hands of state-owned corporation Rostec last year.


      Russia is set to unveil on Wednesday its new passenger plane MC-21, billed as a competitor to Boeing and Airbus even as the project is overshadowed by sanctions and setbacks with its predecessor, the Superjet.
      President Vladimir Putin formally opened the MAKS air salon outside Moscow Tuesday with Turkish counterpart Recep Tayyip Erdogan, who was enticed with Sukhoi fighter jets and treated to ice-cream as demonstration squadrons roared ove

      Russia is set to unveil on Wednesday its new passenger plane MC-21, billed as a competitor to Boeing and Airbus even as the project is overshadowed by sanctions and setbacks with its predecessor, the Superjet.

President Vladimir Putin formally opened the MAKS air salon outside Moscow Tuesday with Turkish counterpart Recep Tayyip Erdogan, who was enticed with Sukhoi fighter jets and treated to ice-cream as demonstration squadrons roared overhead.https://brainberries.co/design/the-worlds-most-beautiful-ceilings/

Nchi ambayo inatengwa na nchi za Magharibi kibiashara,kamaingekua haitengwi mambo yangekua ni tofauti.Kwa sasa iko kwenye vikwazo vya kiuchumi.
 
Kuna post nilisoma hapa jukwaani kwamba vile boeng zilipokua zinaanguka ilikua ni mchezo wa kiintelijensia na jaribu kuconnect dots na uzinduzi huu na hapo nafikiri kua KGB wamecheza karata safi[emoji106]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbona sasa hapo mkuu kama vile tunabishana kuwa kati ya mueshimiwa Mkapa na mieshimiwa Kikwete nani wakwanza kuwa Raisi, wakati jibu kila mmoja analijua.

Mc-21 project yake imeanza toka mwaka 2006 wakati iyo Comas C919 ya wachina imeanza mwaka 2008.sasa hapo nani ka copy ndugu?
 
Back
Top Bottom