Wanatofauti gani na CCM wenzako??Siwapendi wa Democratic
Wenyewe hushabikia mambo ya kipuuzi tu
Trump ananyoosha kweli. Democratic mambo yao ya kijingaSiwapendi wa Democratic
Wenyewe hushabikia mambo ya kipuuzi tu
Mungu ambariki sana Rais Donald Trump. Atashinda na zaidi ya kushinda hila zote za ma-Dem majitu yasiyomjua Mungu zitashindwa. Ma-atheist wengi, mashoga wengi kama sio wote, n.k ukiangalia kwa makini wako affiliated na Democrats!