Abu-Zakariya al-Britani ndiye aliyejilipua Mosul

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Mpiganaji wa kundi la kigaidi la IS aliuawa katika shambulio la bomu huko Mosul nchini Iraq ni mfungwa wa zamani katika gereza la Guantanamo Bay,BBC imebaini.

_94789728_3d551333-1f1c-4cb3-aba8-bde71e5070ed.jpg

Duru za usalama pia zimesema kuwa mtu siku mbili zilizopita Abu-Zakariya al-Britani alijitoa muhanga katika shambulio la mabomu yaliyo tegwa ndani ya gari lengo ikiwa ni kushambulia kambi ya jeshi ya Tal Gaysum, kusini magharibi mwa Mosul.

Hadi hivyo anafahamika pia kwa majina ya Ronald Fiddler,ambaye alikuwa akitoka Manchester na alipelekwa katika gereza la Guantanamo Bay mwaka 2002.

BBC imefanikiwa kuona baadhi ya nyaraka za mawasiliano ya kundi hilo la kigaidi la Islamic State zilizosainiwa.

Chanzo: BBC
 
Bila shaka atakuwa kazungukwa na mabikra 75 muda huu
Mkuu kuweka rekodi sawa ni 72. Jamaa anazichana kiulaaaaini saa hizi halafu unaambiwa hazichaniki muda wote zinabaki kuwa mpya; raha iliyoje! Anyway, hoja zifuatazo zinaibuka:-
  • Je, hizo bikra's ni za kibinadamu? Au ni aina fulani ya viumbe kama majini maalumu kwa ajili ya reward kwa wale walioenenda katika njia ya Mola?
  • Je, kama wanaume watapewa bikra's, je, thawabu ya mwanamke aliyeenenda katika hakhi ni nini? Akili kichwani.
 
Mkuu kuweka rekodi sawa ni 72. Jamaa anazichana kiulaaaaini saa hizi halafu unaambiwa hazichaniki muda wote zinabaki kuwa mpya; raha iliyoje! Anyway, hoja zifuatazo zinaibuka:- Mkuu ikumbukwe inapokuja suala la " Imani " hakuna hoja au logic au Falsafa nk. Kwa sababu mambo ya Mungu hayachunguziki kwa akili za ki binaadam. Ni suala la kuamini.

  • Je, hizo bikra's ni za kibinadamu? Au ni aina fulani ya viumbe kama majini maalumu kwa ajili ya reward kwa wale walioenenda katika njia ya Mola?
  • Je, kama wanaume watapewa bikra's, je, thawabu ya mwanamke aliyeenenda katika hakhi ni nini? Akili kichwani.
 
Mkuu kuweka rekodi sawa ni 72. Jamaa anazichana kiulaaaaini saa hizi halafu unaambiwa hazichaniki muda wote zinabaki kuwa mpya; raha iliyoje! Anyway, hoja zifuatazo zinaibuka:-
  • Je, hizo bikra's ni za kibinadamu? Au ni aina fulani ya viumbe kama majini maalumu kwa ajili ya reward kwa wale walioenenda katika njia ya Mola?
  • Je, kama wanaume watapewa bikra's, je, thawabu ya mwanamke aliyeenenda katika hakhi ni nini? Akili kichwani.
Hoja yako ya msingi sana
 
Hii dini ya allaaah iko na utamu wake aisee, unaua adui yako kisha allaaah anakukabidhi bikra 72 mpya kabisa na mito ya pombe huko jehanamu.....
 
Hii dini ya allaaah iko na utamu wake aisee, unaua adui yako kisha allaaah anakukabidhi bikra 72 mpya kabisa na mito ya pombe huko jehanamu.....
hahahaaa! yani huko Jehannam tena?
najiuliza tu hawa mabikra mpaka sasa hawashikwi na nyegezii jamani?

Hivi ni watu kweli au vp?

Maana kuwa na Jicho kama kikombe, ina maana utakuwa na uso kama Dirisha flani la alminium, kichwa sasa ndo usiseme!
 
Back
Top Bottom