The Certified
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 910
- 773
Tumezoea kuona Mbwa wakitumika na Polisi kusaidia kukamata Wahalifu na hata panya kutumika kutegua mabomu, kingine ambacho kimeripotiwa ni kuhusu Ndege aina ya tai ambao wanafundishwa kukamata Drone.
Drone
Hii imetokea Ufaransa ambapo Polisi wa nchi hiyo wanatoa mafunzo kwa tai kwa ajili ya kuzuia mashambulizi ya kigaidi nchini humo ambapo hatua hii imekuja kufuatia hofu kwamba Magaidi wanaweza kufanya mashambulizi kwa kutumia Drone ( kifaa kidogo mfano wa Helikopta kinachotumika kupiga picha kutoka angani)