MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,238
- 50,413
Mpiganaji wa ISIS anaonekana kwenye hii video akivizia huku amevaa mkanda wa bomu ya kujitoa mhanga, kwa bahati nzuri imemlipukia kabla ya kuwafikia walengwa. Sasa sijui wale hufa hivi kama wana thawabu yoyote.
http://video.dailymail.co.uk/video/...558040442/640x360_MP4_1466761139558040442.mp4
http://video.dailymail.co.uk/video/...558040442/640x360_MP4_1466761139558040442.mp4